Media za Bongo kimya, American Got Talent, Ramadhan Brothers

red label

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
439
Reaction score
886
Habari za asubuhi wapendwa.

The Ramadhan Brothers kutoka Tanzania wametinga fainali,nashangaa media za bongo zinko kimya..Hakuna asiyefahamu American Got Talent ni moja ya mashindano makubwa Duniani.

Hakuna support yeyote imeonyeshwa na media za bongo kuweza kuwahamasisha watanzania kuwapigia Kura hawa wawakilishi wetu.

Yatakuwa kama yaleyale ya Mwakinyo.Tunasubiri washinde ndiyo tuwapeleke Hadi bungeni.Wazee waitfakiVice President alikuwa marekani kwenye mkutano mkuu (UNGA) hajaweza hata kukutanishwa na hawa vijana wanaotuwakilisha Kwa nguvu zao.

Mwana Fa alikuwa marekani ameishia kuonekana na Roma wakikata mitaa,labda Kwa kutofahamu..Basi zifanyike juhudi tupige Kura Kwa wingi.

Screenshot_2023-09-26-08-56-39-12.jpg
 
CCM wanaua vipaji.
Hivi wakina Suleman Nyambui, Juma Ikangaa, Filbert Bayi, Sunday Manara, walipatikanaje miaka hiyo kiasi kwamba sasa hivi wasipatikane!!?
Jibu ni kuwa CCM haijawahi kuwa na nia ya dhati ya kuuondoa umasikini Tanzania na kuwatoa Watanzania kwenye umasikini.

Kama tungekuwa na sera makini za kuibua, kulea na kukuza vipaji, hakika naamini kabisa nchi ingepata maelfu ya vipaji ambavyo vingeinua familia zao hao wenye vipaji kiuchumi pamoja na kuwapa ajira maelfu ya vijana na serikali kunufaika kwa kodi.
 
Habari za asubuhi wapendwa.

The Ramadhan Brothers kutoka Tanzania wametinga fainali,nashangaa media za bongo zinko kimya..Hakuna asiyefahamu American Got Talent ni moja ya mashindano makubwa Duniani.

Hakuna support yeyote imeonyeshwa na media za bongo kuweza kuwahamasisha watanzania kuwapigia Kura hawa wawakilishi wetu.

Yatakuwa kama yaleyale ya Mwakinyo.Tunasubiri washinde ndiyo tuwapeleke Hadi bungeni.Wazee waitfakiVice President alikuwa marekani kwenye mkutano mkuu (UNGA) hajaweza hata kukutanishwa na hawa vijana wanaotuwakilisha Kwa nguvu zao.

Mwana Fa alikuwa marekani ameishia kuonekana na Roma wakikata mitaa,labda Kwa kutofahamu..Basi zifanyike juhudi tupige Kura Kwa wingi.

View attachment 2762624
Mafanikio huwa hayashangiliwi kama matatizo.. Subiri wapate kashfa utaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom