Habari za asubuhi wapendwa.
The Ramadhan Brothers kutoka Tanzania wametinga fainali,nashangaa media za bongo zinko kimya..Hakuna asiyefahamu American Got Talent ni moja ya mashindano makubwa Duniani.
Hakuna support yeyote imeonyeshwa na media za bongo kuweza kuwahamasisha watanzania kuwapigia Kura hawa wawakilishi wetu.
Yatakuwa kama yaleyale ya Mwakinyo.Tunasubiri washinde ndiyo tuwapeleke Hadi bungeni.Wazee waitfakiVice President alikuwa marekani kwenye mkutano mkuu (UNGA) hajaweza hata kukutanishwa na hawa vijana wanaotuwakilisha Kwa nguvu zao.
Mwana Fa alikuwa marekani ameishia kuonekana na Roma wakikata mitaa,labda Kwa kutofahamu..Basi zifanyike juhudi tupige Kura Kwa wingi.