Media za kipumbavu mno..... halafu ukiwakuta wanavyokuaga busy utadhani wanakuja na taarifa ya maana kumbe utumbo mtupuimenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna waandishi wa habari wenye ueledi kwa sasa bali wamejaa waandisha MAKANJANJA
Niliachana na TV stations, Radio zote kasoro Mungu kwanza Online radio, Upendo Media wana kipindi cha kipumbavu mno, kama kuna Mhusika humu ndani a waambie wale wanaondesha kipindi cha asubuhi kutoka magazetini, ni wajinga hasa yule kijana. Nikishamaliza kusikiliza ile Morning Glory wanaweka Wimbo nasikiliza, ukiisha tu nabadilisha au nazima.
Ni wajinga, hizo radio nyingine sisikilisi kabisa wala sijawahi kuangalia taarifa ya habari wala kufuatilia accounts za social media zao..... kwanini? Kwasababu unakutana na taarifa za kipumbavu mnoo ambazo zote zinamrejelea mtu mmoja.
ππππ middle fingerWe ni sawa na uharo wa mbwa koko
Toeni taarifa kwa kubalance sasa mnapotoa ya upande mmoja inakuwa imeanzia hewani ama?Hatupangiwi!!
Kwani CAMERA wanatununulia mpaka tubalansi.Toeni taarifa kwa kubalance sasa mnapotoa ya upande mmoja inakuwa imeanzia hewani ama?
Acheni ukanjanja
Njaa zinawafanya mtupe ueledi kuleKwani CAMERA wanatununulia mpaka tubalansi.
Au nikiamua kuandika habari zako ntafungwa?
Alafu ukumbuke hii Ni biashara PLPL ana cha kutulipa per dayπ
Sasa vifaa nanunua kwa pesa yangu unataka nibalansi kwa mtu ambaye hata maiki ikiharibika hachangiiπ π πNjaa zinawafanya mtupe ueledi kule
Makanjanja nyie mnanuka njaaaa
HOVYOOOOOSasa vifaa nanunua kwa pesa yangu unataka nibalansi kwa mtu ambaye hata maiki ikiharibika hachangiiπ π π
ππππHOVYOOOOO
Wasaaalamu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole???
Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna waandishi wa habari wenye ueledi kwa sasa bali wamejaa waandisha MAKANJANJA
Nimependa unavyojibu kwa hoja na sio matusi bravo!Sasa vifaa nanunua kwa pesa yangu unataka nibalansi kwa mtu ambaye hata maiki ikiharibika hachangiiπ π π
Hapa hatuna waandishi wa habari tuna makorokocho, makuwadi ya wasakatonge, mafisadi na majizi ya raslimali za taifaWasaaalamu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole???
Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna waandishi wa habari wenye ueledi kwa sasa bali wamejaa waandisha MAKANJANJA
Hamna media bongo ila 'government mouth piece '..Wasaaalamu