Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

Wasaaalamu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole???

Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna waandishi wa habari wenye ueledi kwa sasa bali wamejaa waandisha MAKANJANJA
Balile ndio kiongozi wao kada wa ccm asiyejitambua unategemea media zitakuwaje?
 
Balile ndio kiongozi wao kada wa ccm asiyejitambua unategemea media zitakuwaje?
Balile ni mnafiki na mchumia tumbo. Kwenye Press Moja ya Polepole alikuwa amethibitisha kushiriki lakini muda ulipofika, Akala kona bila taarifa yoyote. Halafu Leo anaandika majibu ya waaliotuhumiwa na Polepole. Eti Mwandishi wa habari ! Eti mwanasheria! Upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom