Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

Balile ndio kiongozi wao kada wa ccm asiyejitambua unategemea media zitakuwaje?
 
Balile ndio kiongozi wao kada wa ccm asiyejitambua unategemea media zitakuwaje?
Balile ni mnafiki na mchumia tumbo. Kwenye Press Moja ya Polepole alikuwa amethibitisha kushiriki lakini muda ulipofika, Akala kona bila taarifa yoyote. Halafu Leo anaandika majibu ya waaliotuhumiwa na Polepole. Eti Mwandishi wa habari ! Eti mwanasheria! Upuuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…