Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

[emoji16][emoji16][emoji16] ipi hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wanakopi hadi muda wa kurusha kipindi sijui wanawazaga nini hawa maandazi
Hivi hata hii lugha ya Kiswahili tunayoingea yenyewe imekopi maneno mengi kutoka lugha mbali mbali, unafikiri idea gani haijatokana na idea nyingine?

All man made stuff must ve been copied. Sasa usifikiri kukopi ni kufikilisika kimawazo bali ni njia ya kuzaa wazo.
 
sawa sawa
 
 
Clouds ni role model wa wachafu koge
sio hao tu, wengi sana wanamcopy, hasa redio za mikoani ndio shida balaa, na hivi zinachipua kama Uyoga ndio v ipindi vinafanana mpaka basi
 
Story book mbona ni copy and paste nayo, wamefanya muda sana kina Dennis Mpagaze, Davistar Mata hata Sky walker kafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…