Wote set up sasahivi wanaizingatia kutokana na urushaji wa matangazo Online, Kwa Tanzania Redio yenye set up nzuri kwangu mimi ni Lake fm iko Mwanza, kwa Africa Mashariki hakuna wakumfikia NRG Radio NairobiKwenye vipindi Clouds ni wabunifu
Kwenye studio set up wasafi ni wabunifu.
Huo unaoita utofauti ndio ubunifu wenyewe sasa.Jina linakuwa tofauti ila Maudhui ni yale yale, Mkasi na Bar Tender tofauti ni Location tu na baadhi ya vitu ila Idea ni ile ile
The Story book ni Idea wengi wameijua baada ya kwenda hewani, ila wengi sana wanafanya kitu cha namna hiyo nenda You tube hukoWasafi wana kipindi chaitwa story book, haya tuambie wameiba wapi?
Nafikiri ifike mahali angalau ungechambua kipindi hata kimoja ili uone tofauti na ubunifu uliopo si kuorodhesha vingi ili uonekane mchambuzi mzuri.
Nikupe mfano, kuna segment kwenye block 89 inaitwa group admin, haya niambie inafananaje na segment iliyopo XXL kuanzia jina na content wise?
Hizi kelele tumshazisikia mtaani na kwa washabiki, wewe usipoleta upembuzi makini tutakuona wale wale.
kweli kabisaUkishakuwa umetengeneza kundi la Misukule wewe unakuwa mungu kabisa yaani MR PERFECT hukosei.
Kila Upuuzi Utakaofanya UTAHALALISHWA.
Ukiimba MATUSI utaambiwa SIMBAA hivyo ndio mashabiki wanataka ngoma zinazotrend.
Ukizalilisha Wanawake Huku Unazalisha Huko Huko Kama Nzige, Utaambiwa, Simbaaa Kwani Kwani Kuna Kosa Gani ? Nani Hazini.
Ukianza Kukopi Na Kuimba Nyimbo Za Watu Kama Chatu Mandota Na Mkali Wenu, Wanakwambia Huyo Ndo Simba Kwani Kuna Jipya Gani Duniani ? Kukopi Kawaida Tu !
Ndivyo Ilivyo !
Wanaoabudiwa Huwakosei Mbele Ya Macho Ya Wafuasi Wao!
Hamtaki kusikia wala kuambiwa ukweliHuo unaoita utofauti ndio ubunifu wenyewe sasa.
Huku kwenye Bar tender mtangazaji ndo muhudumu ama mtoa huduma kule kwenye Mkasi mtangazaji ni mtangazi tu, muhudumu ni mtu mwingine.
Tafsiri ya copy and paste maana yake kitu ni kile kile kwa asilimia nyingi huku vitu ni tofauti na utofauti ndo ubunifu elewa hilo.
Hahahha hapo kweli kabisa, alianza Zanana na Mak Juice...ila sahizi mji umechafuka vibanda vya kuuza Juice. Kila mtu anafungua lake ndio kaliba ya watanzania πππ!!!Clouds wana segment za sports news kwenye vipindi na redio nyingine nyingi now zimeiga hadi presentation
kuna siku niko saluni nikasikia pia kwenye wasafi block 89 kuna segment ya sports news,the same kama Nje ya chaki ya XXL ya mwanangu Turpa Turpa
Kuiga hadi mtaani..mtu akifungua biashara yake ikafanikiwa kidogo na wengine 1000 wanafungua..Refer Juice points..Sema sio mbaya ndo maisha ya mtanzania kuiga iga tu
achana nao tu mkuu fanya yako au huna mishe zakufanya
Najua tatizo wamekopy wasafi mbona wamekopi wengi.
Clouds e na Social Buzz-Wamekopi EATV kipindi alikuwa anatangaza Dominic Nyalifa.
XXL-Wamekopi Radio One kipindi hiko mtangazaji Aboubakar Sadiq.
After Skul Bash-Wamekopi Likizo Tyme ya Majizo.
Asikudanganye mtu kwa upande wa kuandaa vipindi vya TV vya burudani vijana EATV hawana mpinzani,TV nyingi wamekopi toka kwao.Ukija redio One 80% ya radio zite TZ wamechukua vionjo vingi kutoka kwao.
Sasa kwani kuna ubaya gani mbona ukisikiliza mtiririko wa redio nyingi wamekopi na kupaste,ila umewaona Wasafi.
Ila si shangai kuna watu wanaumizwa namafanikio ya mda mfupi waliyoyapata Wasafi Media,kwani ukizungumzia radio tatu zinazofanya vizuri Dar lazima Wasafi ipo na upande wa streaming Youtube wanaongoza.
Miaka inavyoenda redio zitakuwa hazina umuhimu kabisa ,kuna itaji ubunifu sana ili redio ziendelee kuwapo.Unataka kusema kama kwenye chumba cha mtihani wasafi kakopi majibu yote mpk jina yaani kaokoa muda hajashughulisha ubongo ?
redio haziwezi kuishiwa Umuhimu, sema zitashindwa kujiendesha kibiashara kwa kukosa ubunifuMiaka inavyoenda redio zitakuwa hazina umuhimu kabisa ,kuna itaji ubunifu sana ili redio ziendelee kuwapo.
Ss km mtu ana C&P mtihani majibu mpk jina ndio kufeli huko.
Hii pia ni kutokana na watu ulionao katika taasisi kama hawashughurishi vichwa mambo ndio huwa hivo, redio ikikosa matangazo atafutwe mchawi ni nani.Miaka inavyoenda redio zitakuwa hazina umuhimu kabisa ,kuna itaji ubunifu sana ili redio ziendelee kuwapo.
Ss km mtu ana C&P mtihani majibu mpk jina ndio kufeli huko.
Hahahah watu wanashindwa kuiga frequency tuHahahha hapo kweli kabisa, alianza Zanana na Mak Juice...ila sahizi mji umechafuka vibanda vya kuuza Juice. Kila mtu anafungua lake ndio kaliba ya watanzania πππ!!!
Mtu kuumiza kichwa hataki anachungulia alipowin mwenzie nae anatambaa na chaki!
Wakitoka wao ss tunafuata kauli ya Wachafu Fm hiyo ,yaani 88.5 Mawingu,88.9 Wachafu unasemaje wameshindwa kuiga freq wakati hapo ukijichanganya tu tyr unawasikiliza wao Wachafu .hahahah watu wanashindwa kuiga frequency tu
Ukishaishiwa kibiashara ndio kufilisika kwenyewe,kama matumizi ya internet yatazidi kukua online Tv ndio zitakuwa na soko.redio haziwezi kuishiwa Umuhimu, sema zitashindwa kujiendesha kibiashara kwa kukosa ubunifu
Kwa ukuaji wa Teknolojia TV ndio zimekosa soko, matangazo mengi ya TV yamekimbilia Online televisheni kwenye viewers wengi na gharama ndogo, TV station matangazo yana gharama kubwa.Ukishaishiwa kibiashara ndio kufilisika kwenyewe,kama matumizi ya internet yatazidi kukua online Tv ndio zitakuwa na soko.
Kitu kingine ni kwamba vipindi vingi havina content za kibunifu kama MTU unafuatilia sana mitandao unaweza ukawa unapata taarifa na burudani zote hakuna aja ya redio .
Ninachokiona watangazaji wanaokoteza okoteza taarifa za mitandaoni ndio wanatangaza hawajitumi .