GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimejaribu kuangalia Media za nchini Rwanda, Kenya na Uganda hasa katika Coverages zao juu ya Vita baina ya Ukraine na Urusi na kugundua ya kwa Wanyarwanda, Wakenya na Waganda wameshaelimishwa na Kuchambuliwa vya kutosha juu ya Vita hiyo tofauti na Tanzania na Watanzania.
Kila nikijitahidi kufuatilia Media za Tanzania ninachoambulia tu ni kuona Vikimpamba na Kumsifu Kunakopitiliza' (hata karibia na Kukufuru) Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika mwaka wake Mmoja Madarakani.
Na kama nitapata Kitu kipya kingine cha Kihabari na Kimjadala huko basi ni Sakata la Steve Nyerere na Ndoa ya Mzee Augustino Lyatonga Mrema pekee lakini siyo Masuala ya maana.
Media ya Tanzania mnafeli wapi nyie?
Sijui na huu Uzi wangu leo utafutwa!!!!