Nyie si ndio watuhumiwa?... Naturally ni lazima mkajipange namna ya kujibu.... Mtajibu ndio, lakini mtajibu nini? 😁Long way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.
Huyu Msigwa ni wa kuunganishwa kwenye kesi ya mauji ya halaiki huko ICCLong way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.
Nani atasikiliza na kuwaamini hawa matapeli?Long way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.
Nani atasikiliza na kuwaamini hawa matapeli?
Inakuwaje wanauawa wananchi zaidi ya 20k na hadi sasa hakuna muuaji hata mmoja aliyekamatwa wala kuwajibika??
Mzee wa Msoga ni hatari sana..
View: https://youtube.com/watch?v=F6fI9bgdffU&si=ZHnu0YdsEAOV64Wa
Kabisa,Huyo mzee hatari sana alimtoa Magufuli akamuweka mama hapo ila plan yake hii yote imetokea now mama anaonekana mbaya soon watamtoa watasema wazungu wamemtoa ila mzee msoga ataweka watu wake hapo...Mzee wa msoga ana akili sana sio kidogo....
Huyo muuaji wenu labda anapendwa na wa Zanzibari wenzake huko. Huku bongo ni tunamuona ni takataka kabisa.Mama watu wanampenda achia ngazi kwa sasa ushauri wa bure tu na watoto wako na familia yako watakumbuka ushauri wetu....
Itafika wakati itakuwa aibu kujitambulisha mbele za watu kama MtanzaniaLong way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.