Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

Kama umefail mtihani, rudia tena dogo acha manung'uniko yasiyo na msingi.
Mungu akurehu, naishia apo ukiendelea,nitaendelea ,ila nakuonya punguza mazalau, wenda Hata kilichoandikwa hujasoma, umekurupuka tu
 
Dogo jiandae na pepa iyo tar 13, acha kuja kulalama jukwani hapa. Mnasoma HKMU then mnajiita Drs Wakati kutwa mnalandalanda kwenye corridors za Mwananyamala na Temeke, kusoma hamsomi. Bahati mbaya walimu wanawapitisha tuu kwa vi pesa kidogo mnavyowapa. Sasa lazima tuwapime. Na mkija hospitali tutawashika pia Kama mtakua mmeibia pepa.
 
Nawataka MCT waje mazalau yatakuponza ,huna huna adabu , mwepesi Sana WEWE,
 
Sasa KWa sababu wateswa na laana ya ukoo wako ,sikia
Nakufuta pande zote za Dunia, kusini,mashariki , magharibi na kaskazin, nakufuta kuanzia familia YAKO, majirani , ,nakufuta anzia unywele wako mpaka kidole chako za mwisho, mpaka utakapo tubu KWa imani YAKO , na kutoa laki moja ,mia tano KWa KILA maskini Alie Barabarani mpaka laki kuisha ,na imekua
Yani ka bwege kama wewe usiejua ata kuandika ata hujui tofauti ya R na L ndo wakunitisha? akili fupi sana. Kamfute mamaako mbwa koko wewe unajipa uganga. Umefutika wewe usiejitambua HUNA MAMLAKA JUU YANGU KIMA mmoja uliefeli maisha. Nimekuzidi, nitakuzidi na laana unayo wewe ambae mpaka karne hii unadhani unaweza kumtisha mtu kwa imani yako feki. Ndio maana mnakesha usiku , wakati wa sikukuu na weekend wakati wenzenu tunaishi na kufanya kazi kwenye AC na hatukosi usingizi wala weekend hatuna stress. Kima kabisa. Ndio maana MCT watu design yako iwafutie leseni. IQ ndogo ata nzi kakuzidi. Huo uharo hapo ulioandika doesn't mean shit to anyone. Unajipa tu moyo nothing will happen.
 
Dogo jiandae na pepa iyo tar 13, acha kuja kulalama jukwani hapa. Mnasoma HKMU then mnajiita Drs Wakati kutwa mnalandalanda kwenye corridors za Mwananyamala na Temeke, kusoma hamsomi. Bahati mbaya walimu wanawapitisha tuu kwa vi pesa kidogo mnavyowapa. Sasa lazima tuwapime. Na mkija hospitali tutawashika pia Kama mtakua mmeibia pepa.
Sijadili na vikorogosi najadili na wanaojielewa ,unajua nini WEWE ? upo upo tu ,naanza ongea kiroho sasa
 
Nimemaliza uyu ndo 47 mbatizaji Kama umevamia na hujui Mungu akurehem,utakajua kabwege ,nakupa siku 60 then njoo ziaka zako
Yani ka bwege kama wewe usiejua ata kuandika ata hujui tofauti ya R na L ndo wakunitisha? akili fupi sana. Kamfute mamaako mbwa koko wewe unajipa uganga. Umefutika wewe usiejitambua HUNA MAMLAKA JUU YANGU KIMA mmoja uliefeli maisha. Nimekuzidi, nitakuzidi na laana unayo wewe ambae mpaka karne hii unadhani unaweza kumtisha mtu kwa imani yako feki. Ndio maana mnakesha usiku , wakati wa sikukuu na weekend wakati wenzenu tunaishi na kufanya kazi kwenye AC na hatukosi usingizi wala weekend hatuna stress. Kima kabisa. Ndio maana MCT watu design yako iwafutie leseni. IQ ndogo ata nzi kakuzidi. Huo uharo hapo ulioandika doesn't mean shit to anyone. Unajipa tu moyo nothing will happen.
 
Nimeisha kupa ujira wako ,unapo post kwangu post KWa adabu, najua namanisha nini, tulikua, tupo na Mungu anajua tupo viwango gani , watu Kama Nyie nawapena Sana , siku jamii ijifunze na imekua
Bwege wewe . Mungu sio wako peke yako. Na huna lolote la kufanya. Wewe ulifeli shule, huna akili kama umepanic pasuka kabisa. Jamii ijifunze kwa chizi kama wewe unajisemesha mtandaoni unajipa ufalme, juha kalulu wewe.
 
Nimemaliza uyu ndo 47 mbatizaji Kama umevamia na hujui Mungu akurehem,utakajua kabwege ,nakupa siku 60 then njoo ziaka zako
Unatakiwa uende pale Muhimbili kitengo cha psychiatry sawa bwana chizi? Utakufa muda si mrefu. Ndugu zako wasipokusaidia.
 
Nawataka MCT waje mazalau yatakuponza ,huna huna adabu , mwepesi Sana WEWE,

Yaani hili jamaa nilitamani nilifahamu. Yaani huyu ndio wale wa Shule za kuunga unga. Hataki kuwa assessed anataka mserereko..! Achana na MD kasome kozi zinginekama VETA utafaulu ila uliko huko sio kwako
 
Kama tuhumu hizi Zina ukweli,basi MCT inapaswa wajitafakari.Lakini masuala ya afya za watu,huwezi compromise.
 
Kabisa. Hawajui lolote. Ukienda mgonjwa mwenye masomo utamsumbua sana daktari wa sasa. Wanaishia kuwa wakali ukiwauliza maswali magumu.
Unachoongea ni kweli siku hizi MD wamekuwa wa show of zaidi . Mtu anaunga unga semester miaka yote mitano hamna analolijua
 
Tatizo wa vyuo vya kata wamekuwa wengi sana, na kichwani ni empty, hatuwezi kuruhusu mambumbumbu kuja ku deal na maisha yetu kirahisi hivo. Big up MCT , tena hiyo mitihani iwe nondo kweli.
Waachane na MCQ zile za dr .mtigusangu
Watunge pepa za kueleweka uone kama watu hawatakuwa serous na taalum hii MCQ haijakaa poa kabisa
 
Yaani hili jamaa nilitamani nilifahamu. Yaani huyu ndio wale wa Shule za kuunga unga. Hataki kuwa assessed anataka mserereko..! Achana na MD kasome kozi zinginekama VETA utafaulu ila uliko huko sio kwako
Nimemchallenge kidogo ka catch feelings mpaka anajipa mamlaka ya israel mtoa roho. Sijui anataka kufa yeye. Maana kuchanganyikiwa kwake inaweza kuwa ndo anakufa zake.
 
Ni kweli chuoni AMO walifundishwa na MDs lakini ni MDs wazoefu. Halafu AMO amepractice kwa muda mrefu na ana uzoefu mkubwa. Akija MD fresh from school ndiyo ana ujuzi mkubwa kuliko AMO lakini AMO ana uzoefu mkubwa kuliko huyu MD. MD ana mambo kadhaa ya kujifunza toka kwa AMO and vice versa!! Haya ni mambo ya kawaida, na kwa kusema hivyo hatumdharau yeyote!!
Yani amo wote wamepractise muda mrefu na wana uzoefu? Yani ukiwa hiyo amo ndo automatically unakuwa mzoefu? Hii kiboko.
 
Kweli madaktari wamekuwa wengi,
Yaani badala ya kutafuta namna ya kuuboresha udaktari wao wanatafuta namna ya kuwapunguza.
Mbona mnawatesa sana hao madogo. Kama ni kuwapunguza basi wapunguzwe wakiwa na 2/4/5 yes of study na sio mpaka watu wamalize shule ndo muwanyime leseni, it's too much.
Tuendako visa vya kupigana risasi vitakuwa vingi kama mamtoni
 
Back
Top Bottom