Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

Sawa hio hela ndogo sana degree nyingi za miaka 3 wanalipwa hio na ajira ni nje nje,wanaosoma MD hawajitambui
No.

Hiyo ndio basic ya MD serikalini. Na ndio shahada yenye salary kubwa kuliko zote.
 
Issue siyo kichwa bali ni uwekezaji wa pesa na muda.
Kwenye pesa, nakubaliana na wewe.

Kwenye muda, kama una kichwa kizuri unaweza kusoma huku unafanya mishe nyingine.

Kama hoja yako inalenga kwamba miaka sita ni mingi, naomba nikukumbushe hao wanaomaliza mapema wanabaki kulaumu wanasiasa kuhusu ajira. Hakuna la maana wanalofanya mtaani

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ningependa mada hii ichangiwe na wanataaluma zaidi wengine tubaki wasomaji.

Tutajuwa mchele na pumba ni zipi tukipata intellectual argument za wanataaluma.
Nasisitiza tuzingatie hili sana ili nasie tujifunze mawili matatu
 
Mtihani wa pre na post internship ni mzuri lakini MCT wanatakiwa waumodify kidogo

Mfano Post internship exam inakuwa na maswali case based scenarios 150 mcqs for three hrs for all 4 major departments ( internal medicine, Obgyn, Pediatrics na Surgery).

Sometimes utakuta kuna maswali ya subspecialities yanajipenyeza humo kama Orthopedics and trauma, Ear,Nose and All throat( ENT),Ophthalmology,Psychiatry na Anaesthesia

Kumaliza hayo maswali 150 ndani ya muda huo wa saa tatu bila hata muda wa nyongeza ni ngumu.

standard ya pepa hata za Medical school ni 3hrs for a 100qns paper! labda ufanye pepa bila kufikiri, na Daktari asiye fikiri ni hayupo!!

Kila swali ni Case ya Mgonjwa ambapo unahitaji kama dk tatu KUSOMA, KUFIKIRI na KULIELEWA swali/ mgonjwa huyo.

Mostly Pepa inatoka kwenye Standard Treatment Guidelines za Bongo

Ushauri ni kwamba pepa hiyo iendelee kuwepo kuwapima Madaktari wanaomaliza Internship ila siyo wanaoingia internship And Mtihani usiwe mmoja wenye maswali Mengi hivyo, Na marefu kwa muda huo wa masaa matatu!

Mtihani uwe na Two papers za 100 case based Mcqs kama kawaida for Three hrs na ifanyike for Two consecutive Days mfano as a template Paper 1 Monday, Paper 2 Tuesday

Paper 1 inaweza encompass Internal medicine and Pediatrics AND
Next day Paper 2 ikaencompass General surgery and Obstetrics and Gynecology

questions from Subspecialities may be interspersed/ intercalated/ sandwiched in both Papers 1&2!!

Hii itaruhusu vijana kumaliza maswali, kuyasoma maswali, kuyaelewa na hata Kujifunza humo humo kwenye maswali ya Mtihani na hivyo kuwapima vyema Vijana..

Thanks
 
Back
Top Bottom