Mtihani wa pre na post internship ni mzuri lakini MCT wanatakiwa waumodify kidogo
Mfano Post internship exam inakuwa na maswali case based scenarios 150 mcqs for three hrs for all 4 major departments ( internal medicine, Obgyn, Pediatrics na Surgery).
Sometimes utakuta kuna maswali ya subspecialities yanajipenyeza humo kama Orthopedics and trauma, Ear,Nose and All throat( ENT),Ophthalmology,Psychiatry na Anaesthesia
Kumaliza hayo maswali 150 ndani ya muda huo wa saa tatu bila hata muda wa nyongeza ni ngumu.
standard ya pepa hata za Medical school ni 3hrs for a 100qns paper! labda ufanye pepa bila kufikiri, na Daktari asiye fikiri ni hayupo!!
Kila swali ni Case ya Mgonjwa ambapo unahitaji kama dk tatu KUSOMA, KUFIKIRI na KULIELEWA swali/ mgonjwa huyo.
Mostly Pepa inatoka kwenye Standard Treatment Guidelines za Bongo
Ushauri ni kwamba pepa hiyo iendelee kuwepo kuwapima Madaktari wanaomaliza Internship ila siyo wanaoingia internship And Mtihani usiwe mmoja wenye maswali Mengi hivyo, Na marefu kwa muda huo wa masaa matatu!
Mtihani uwe na Two papers za 100 case based Mcqs kama kawaida for Three hrs na ifanyike for Two consecutive Days mfano as a template Paper 1 Monday, Paper 2 Tuesday
Paper 1 inaweza encompass Internal medicine and Pediatrics AND
Next day Paper 2 ikaencompass General surgery and Obstetrics and Gynecology
questions from Subspecialities may be interspersed/ intercalated/ sandwiched in both Papers 1&2!!
Hii itaruhusu vijana kumaliza maswali, kuyasoma maswali, kuyaelewa na hata Kujifunza humo humo kwenye maswali ya Mtihani na hivyo kuwapima vyema Vijana..
Thanks