4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
mnawaza kulawitiana sana , usikute hata ushoga ushaanzaWe ukitumia matako
Inatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnawaza kulawitiana sana , usikute hata ushoga ushaanzaWe ukitumia matako
Inatosha
warusi wanalalamika vita inawapeleka kuwa mateka wa China , ww unasema wametoka mbaliMrusi na China wametoka mbali sana. Wote wanashare sera za kikomunisti na Russia ana mchango mkubwa katika kuikomboa China enzi Mjapani anawanyanyasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kasome tena historia , bila USA , Hitler alikuwa anaichukua ULAYA na URUSI mpk 1943 alikiwa kashinda kila alipokuwa anapigaa , USA ndo alikuwa game changerWanazi waliisumbua sana Soviet Union. Ila waligeziwa kibao na kuchezea kipigo kila kona ya dunia [emoji3][emoji3][emoji3]ndio maana wanamtambua Russia in bold letters tena bila msaada wa yeyote yule. Mwingereza alikuwa katulia zake tu anaangalia Ujerumani akizidiwa asiingilie makoloni yake.
Mama yetu Yuko smart sana [emoji4]Wanapelekewa moto kishenzi naskia makamu wa raisi wa US Kamala Haris anakuja Tanzania siku si nyingi. Yote ni kuja kujipendekeza nq kutaka Tanzania ifungamane nao kwenye kutetea ushoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila kumbe TZ imesimama na Mrusi kimya kimya
Msomi hata sisi wazee watu wazima,unatudanganya?????Unajua maana ya hypersonic bomb,s na type's zake????Zipo Urusi na China tu.
Marekani bado hawafanikiwa wapo hatua ya majaribio ambayo majaribio kadhaa yameshindwa ( fail ).
Msomi umeenda shule kweli kuniuliza nikutajie akiba ya silaha ya serikali ya marekani????Chuki dhidi ya marekani isikufumbe macho kutoujua ukweli in millitary aspects au ndio nyie watoto wa miaka ya 80,s na 90,s??????? KGB mnaijua kuliko warusi na PENTAGON mnaijua kuliko CIA,s?????Tutajie Nan mwngn mwenye nazo,
USA wenu ndo kwnza Yuko kwny majaribio,
Na majaribio yenyewe yanafeli Kila siku[emoji1787][emoji1787]
Nini kimewazuia sasa?Wakitaka wanaenda kumnyakua kama kuku.
Na huyo msemaji atabaki msemaji.
Kumbuka Sadamisene na Osama
USA sio mtu mpaka utumie neno""Uyo USA"""msomi vitu vingine viko wazi tu kuelewa bila ushabiki wa kitoto otherwise elimu yako ni ya kuishia degree kushuka chini na unapenda ubishi na ujuaji kama watoto wa chuo wanaochukua degree.Uyo usa anayo na alishayatumia kuua watu,
Unalizungumziaje Hilo mkuu[emoji16]
Mkuu, hebu tuwekee maelezo au link hapa inayozungumzia uwezo wa hypersonic missiles USA ili tujielimishe. Natamani kufahamu uwezo wao juu ya hili.Msomi umeenda shule kweli kuniuliza nikutajie akiba ya silaha ya serikali ya marekani????Chuki dhidi ya marekani isikufumbe macho kutoujua ukweli in millitary aspects au ndio nyie watoto wa miaka ya 80,s na 90,s??????? KGB mnaijua kuliko warusi na PENTAGON mnaijua kuliko CIA,s?????
Unaelewa swali nililomuuliza mdau nilimuuliza kisomi na sio kishabiki kama watoto wa sekondari au vyuoni.Nilichomaanisha kwenye swali langu ni kwamba je yeye binafsi alipata nafasi ya kutembelea maghala ya silaha ya nchi za URUSI na MAREKANI na kuona kuna aina za mabomu zipo kwenye maghala ya silaha ya URUSI afu kwenye maghala ya silaha ya MAREKANI hakuna????Unajua kuna tofauti kati ya story za mitandaoni na uhalisia msomi.Mkuu, hebu tuwekee maelezo au link hapa inayozungumzia uwezo wa hypersonic missiles USA ili tujielimishe. Natamani kufahamu uwezo wao juu ya hili.
Msomi upo serious kweli unategemea top secrets za kijeshi kwa nchi kama Urusi na Marekani KGB au CIA waziweke mtandaoni ili wewe uzipate??????? Kama unataka kufahamu uwezo au idadi ya hizo silaha za hypersonic zinazomilikiwa na serikali za Urusi na Marekani basi kaombe idhini kwa taasisi za KGB au CIA.Mitandaoni utaambulia story za uongo na kishabiki na za kufikirika zisizokua na uhalisia msomi.Mkuu, hebu tuwekee maelezo au link hapa inayozungumzia uwezo wa hypersonic missiles USA ili tujielimishe. Natamani kufahamu uwezo wao juu ya hili.
Huyo wanae km washasema atafika hague atafika tu.Nini kimewazuia sasa?
Mnachekesha sana. Kabisa waingie Urusi wamkamate Putin eti kama kuku?