Medvedev: Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin litakuwa sawa na tangazo rasmi la Vita

Medvedev: Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin litakuwa sawa na tangazo rasmi la Vita

Wakitaka wanaenda kumnyakua kama kuku.
Na huyo msemaji atabaki msemaji.
Kumbuka Sadamisene na Osama
 
Hizo ndaro ndaro zishatathminiwa sana, mlitoa ahadi nyingi na zote zimevunjwa mchana kweupe hakuna chochote putin alichoweza kufanya, sana sana putin akishakamatwa wanajeshi watiifu wataituliza urusi ili waondokane na udikteta maisha ya russia yarudi mahali pake.
Katika hao wanajeshi watiifu Putin ni mmoja wao[emoji38]
 
Tangu Feb ianze,
Wanato wanapumulia mashine[emoji16]
Wanapelekewa moto kishenzi naskia makamu wa raisi wa US Kamala Haris anakuja Tanzania siku si nyingi. Yote ni kuja kujipendekeza nq kutaka Tanzania ifungamane nao kwenye kutetea ushoga 🤣🤣🤣ila kumbe TZ imesimama na Mrusi kimya kimya
 
Kwamba ukibomoa jengo la mahakama unafuta tuhuma dhidi yako............wanao tumia akili wanaamini hivyo
Tuhuma za Bush, Obama na Clinton wao ziliishia wapi? Walikozipeleka wapeleke na za Putin huko huko. Waache kutishia mtu mzima nyau.
 
Tuhuma za Bush, Obama na Clinton wao ziliishia wapi? Walikozipeleka wapeleke na za Putin huko huko. Waache kutishia mtu mzima nyau.
Kwa kutangaza kubomoa jengo la mahakama...? narudia tena, Russia huamini ktk matumizi ya nguvu hata kama si lazima.
 
Kwa kutangaza kubomoa jengo la mahakama...? narudia tena, Russia huamini ktk matumizi ya nguvu hata kama si lazima.
Tuliza kipele wewe, sasa kama Marekani ametangaza kuwa sanction hao viongozi wa mahakama kama wakifungua kesi dhidi ya viongozi wa USA 🇺🇸 kuna tofauti gani na mkwara wa 🇷🇺 kuipiga khinzal hio mahakama?
 
Back
Top Bottom