Medvedev: Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin litakuwa sawa na tangazo rasmi la Vita

Medvedev: Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin litakuwa sawa na tangazo rasmi la Vita

Watamdaka na hakuna kitu atafanya
.
Screenshot_20230324-125334.jpg
 
Nimeona hapo kawatolea mfano ujeruman..... inaonyesha putin ana hamu sana na wanazi
Mbali na Nuclear. Kwa Jeshi la sasa la Russia, ukiwekwa mkono kwa mkono, Russia hachomoki. German, UK, Japan n.k hawa ni watu haswa japo ni kama tunawachukulia simple ktk mapambano.
 
Dimitry madvedev, hata asingetoa huu msisitizo, ukweli unajulikana kuwa hiyo mahakama ya (ICC), Ipo chini ya western country under USA.

Hivyo hakuna taifa lenye akili timamu, litakalo kubali kujipendekeza, kumkamata Putin, maana matokeo yake yatakua mabaya sana.
 
Dah'' Dmitry Medvedev '' Anachamba kama amazaluwa Buza ila wamagharibi wanajua hawezi kumkamata maana huyu siyo Milosevich wa Yugoslavia! Hii ni habari nyingine!
 
Back
Top Bottom