Meena Ally wa Clouds media na Aaliyah Mohammed wa Wasafi media yupi ni Presenter Mkali?

Meena Ally wa Clouds media na Aaliyah Mohammed wa Wasafi media yupi ni Presenter Mkali?

Kabla hata ya bigi kumteka, kwa sasa tumebaki na ushkaji tu wa kawaida.

Hallelujah!!!
sasa mkuu mimi namaanisha huyu au ujanielewa🤣🤣
GPaaRbxXwAAWfP5.jpeg
 
Walimtoa niambie wakampeleka amplifaya, kipindi ambacho kinahitaji mtu aliyechangamka lakini bado ana utulivu na class flani kama Frida amani.

Wamempeleka XXL, naona kule amefit vizuri sanaaa .

Aliyaah yupo vizuri lakini ni kama bidhaa inayotumika kwa kitu kimoja ndio maana meena ana uwanda mpana zaidi kwenyw kazi yake. Kuanzia kwenye entertainment, social works na corporate spaces Ila Aliyaah yawezekana akajitahidi lakini bado hajafit
Meena kwenye social work na corporate spaces hakuna kitu. Ana uelewa mdogo sana kwenye hizo issue. Ndio maana wanamweka kwenye entertainment angau kidogo anapawez ndio maana walimtoa amplifaya kwenda XXL
 
Ndiyo nawasikia Leo Mimi ungeniuliza Regina Mziwanda, Zuhura Yunusi na Mariam Dodo Abdalah nani zaidi ningekujibu
 
Back
Top Bottom