MEGA THREADS: OKOA MUDA NA PESA YAKO: Acha Mimi Nikufanyie Maombi Yote ya Serikali

MEGA THREADS: OKOA MUDA NA PESA YAKO: Acha Mimi Nikufanyie Maombi Yote ya Serikali

online GOVT applications

Senior Member
Joined
Sep 7, 2026
Posts
185
Reaction score
182
Habari Wakuu,

Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati?

Usijali tena.

Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa wakati, bila stress na bila kuruka-ruka.


HUDUMA NINAZOTOLEA:


1. KAZI & ELIMU

Professional CV & Cover Letter
- Imeboreshwa ku-pita ATS na kuvutia waajiri

Maombi ya Ajira Portal

Maombi ya Vyuo kupitia TCU/NACTE

Mikopo ya Elimu HESLB


2. VYETI & NYARAKA ZA SERIKALI

RITA
: Cheti cha Kuzaliwa, Cheti cha Vifo

NECTA: Cheti Mbadala, Kurekebisha Majina, Rufaa ya Matokeo, Kuachilia Matokeo, Equivalency

NACTE: AVN, Transcript

Passport & Huduma za Uhamiaji

Loss Report / Police Clearance
Certificate

TIN & Huduma za TRA

NHIF Registration & Services


3. BIASHARA & NYINGINEZO

Usajili wa Biashara BRELA

Leseni ya Udereva na Biashara - TAUSI

TANESCO
: Maombi ya Kuungwa Umeme Mpya - New Connection


KWA NINI KUNICHAGUA MIMI?

1. Urahisi: Wewe utuma taarifa, mimi nafanya kazi yote. Hakuna foleni.
2. Uweledi: Kazi inafanywa kwa kitaalamu na kwa kufuata vigezo sahihi.
3. Haraka: Nimeelewa "muda ni pesa". Huduma inafanyika kwa haraka iwezekanavyo.
4. Uaminifu: MALIPO BAADA YA KAZI KUKAMILIKA. Hakuna risk. Unaridhika ndipo unalipa.
5. Bei Nafuu: Huduma bora kwa bei inayokufikia.

TUNAFANYA KAZI KWA NCHI NZIMA. Iwepo Moshi, Dar, Arusha au popote, nakufikia.

WASILIANA NASI SASA:
Simu
: 0746 758 776
WhatsApp: 0617 224 065

📌 Kumbuka: Mafanikio yako ndiyo kipaumbele chetu.
Tuma ujumbe sasa tuanze kazi yako.

N. B: Tafadhali weka Comment, Piga simu, Tuma Normal Sms au DM kwa swali lolote. Nipo kwa ajili yako.
 
We ni muajiriwa wa serikali? Na bado hauna bima ya afya NHIF au unawaweka wategemezi wako basi usijali

Nakufungulia akaunti kama hauna na nawaingiza wategemezi wako wote kwenye bima

Ada ya huduma yangu ni 10000 tu na malipo baada ya kazi
 

Attachments

  • Screenshot_2026-09-07_185608~2.jpg
    Screenshot_2026-09-07_185608~2.jpg
    134.6 KB · Views: 9
Je hauna cheti Cha kuzaliwa au ni Cha zamani? Usihofu ukiwa na leaving ya darasa la 7 au kidato cha nne na kati ya kitambulisho cha kura au NIDA unapata cheti chako ndani ya siku 3 tu

Kama ni ya mtoto chini ya miaka 10, kadi la klinik, cheti cha ubatizo na cheti cha falaki vinatosha kimoja wapo na kitambulisho cha kura au NIDA cha mzaz mmoja

Malipo baada ya kazi
 

Attachments

  • images (14).jpeg
    images (14).jpeg
    23.9 KB · Views: 11
  • images (15).jpeg
    images (15).jpeg
    33.9 KB · Views: 10
  • images (13).jpeg
    images (13).jpeg
    33 KB · Views: 9
Umepoteza cheti cha kidato cha nne au sita? Usihofu unaweza kupata cheti mbadala ndani ya siku 40 za kazi au pungufu kutoka NECTA

Malipo ya serikali ni 100,000 tu na utalipia kwa control number mwenywe

Njoo tufanye kazi
 

Attachments

  • IMG-20260907-WA0026.jpg
    IMG-20260907-WA0026.jpg
    31 KB · Views: 9
Umepoteza kitambulisho, kadi au mali yoyote na unataka kuripoti polisi? Basi usihofu njoo nikuombee polisi loss report
 

Attachments

  • Screenshot_2026-09-07_211459~2.jpg
    Screenshot_2026-09-07_211459~2.jpg
    37.6 KB · Views: 10
We ni muajiriwa wa serikali? Na bado hauna bima ya afya NHIF au unawaweka wategemezi wako basi usijali

Nakufungulia akaunti kama hauna na nawaingiza wategemezi wako wote kwenye bima

Ada ya huduma yangu ni 10000 tu na malipo baada ya kazi
 

Attachments

  • Screenshot_2026-09-07_185608~2.jpg
    Screenshot_2026-09-07_185608~2.jpg
    134.6 KB · Views: 9
HUDUMA: KUPATA CHETI CHA KIFO - RITA

Tunakusaidia kupata Cheti cha Kifo kwa haraka na kwa usahihi bila kusumbuka na foleni.

VIAMBATANISHO MUHIMU VINAVYOHITAJIKA
Ili kuomba Cheti cha Kifo, hakikisha una VIAMBATANISHO 4 KATI YA VIFUATAVYO:

1. Muhtasari wa Kikao - kutoka kwa viongozi wa Serikali ya Mtaa
2. Kithibitisho cha Mazishi - kutoka hospitali au Msikitini/Kanisani
3. Kiapo - kinachothibitisha kifo
4. Barua ya Mtendaji - ya Serikali ya Mtaa/Kata/Kijiji
5. Kitambulisho au Cheti cha Kuzaliwa cha Marehemu
6. Barua kutoka Ubalozi - kwa waliokufa nje ya nchi
7. Cheti cha Kuzaliwa cha Mtoa Taarifa
8. Barua kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji
9. Cheti cha Ndoa - kama alikuwa ameoa/kuolewa
10. Hati ya Kusafiria ya Marehemu - Passport

NOTE MUHIMU:
Unahitaji kuwa na angalau viambatanisho 4 kati ya hapo juu ili mchakato uanze.

Simu: 0746 758 776
WhatsApp: 0617 224 065
 
HUDUMA: MAOMBI YA PASIPOTI MPYA NA KURENEW

Tunakufanyia mchakato kamili wa kupata Pasipoti ya Kusafiria kwa haraka na bila foleni.

GHARAMA KAMILI: TSH 180,000

VIAMBATANISHO VINAVYOHITAJIKA:

1. Cheti cha Kuzaliwa
2. Namba ya NIDA
3. Barua ya Serikali za Mitaa ya Kuombea Pasipoti
4. Picha 1 ya Passport Size, Background ya Blue
5. Cheti cha Kuzaliwa cha Mzazi au Affidavit

WASILIANA NASI:
Simu: 0746758776
WhatsApp: 0617 224 065
 

Attachments

  • Screenshot_2026-05-27_170111~2.jpg
    Screenshot_2026-05-27_170111~2.jpg
    88 KB · Views: 5
Je hauna cheti Cha kuzaliwa au ni Cha zamani? Usihofu ukiwa na leaving ya darasa la 7 au kidato cha nne na kati ya kitambulisho cha kura au NIDA unapata cheti chako ndani ya siku 3 tu

Kama ni ya mtoto chini ya miaka 10, kadi la klinik, cheti cha ubatizo na cheti cha falaki vinatosha kimoja wapo na kitambulisho cha kura au NIDA cha mzaz mmoja

Malipo baada ya kazi
Mm nahitaji kitambulisho cha nida, process zote ufanye mm nakipa tuu
 
Huduma nzuri sana mkuu
Nina swali
Kuna mdogo wangu alianza maombi ya online ya passport, akamaliza ikabaki kupeleka viambatanisho uhamiaji, ilikuwa 2023 hakupeleka aliprint tu akabaki na copy.
Swali ni hivi atatakiwa aanze upya au anaendelea tu palepale?
 
Back
Top Bottom