Habari Wakuu,
Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati?
Usijali tena.
Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa wakati, bila stress na bila kuruka-ruka.
HUDUMA NINAZOTOLEA:
1. KAZI & ELIMU
Professional CV & Cover Letter - Imeboreshwa ku-pita ATS na kuvutia waajiri
Maombi ya Ajira Portal
Maombi ya Vyuo kupitia TCU/NACTE
Mikopo ya Elimu HESLB
2. VYETI & NYARAKA ZA SERIKALI
RITA: Cheti cha Kuzaliwa, Cheti cha Vifo
NECTA: Cheti Mbadala, Kurekebisha Majina, Rufaa ya Matokeo, Kuachilia Matokeo, Equivalency
NACTE: AVN, Transcript
Passport & Huduma za Uhamiaji
Loss Report / Police Clearance
Certificate
TIN & Huduma za TRA
NHIF Registration & Services
3. BIASHARA & NYINGINEZO
Usajili wa Biashara BRELA
Leseni ya Udereva na Biashara - TAUSI
TANESCO: Maombi ya Kuungwa Umeme Mpya - New Connection
KWA NINI KUNICHAGUA MIMI?
1. Urahisi: Wewe utuma taarifa, mimi nafanya kazi yote. Hakuna foleni.
2. Uweledi: Kazi inafanywa kwa kitaalamu na kwa kufuata vigezo sahihi.
3. Haraka: Nimeelewa "muda ni pesa". Huduma inafanyika kwa haraka iwezekanavyo.
4. Uaminifu: MALIPO BAADA YA KAZI KUKAMILIKA. Hakuna risk. Unaridhika ndipo unalipa.
5. Bei Nafuu: Huduma bora kwa bei inayokufikia.
TUNAFANYA KAZI KWA NCHI NZIMA. Iwepo Moshi, Dar, Arusha au popote, nakufikia.
WASILIANA NASI SASA:
Simu: 0746 758 776
WhatsApp: 0617 224 065
📌 Kumbuka: Mafanikio yako ndiyo kipaumbele chetu.
Tuma ujumbe sasa tuanze kazi yako.
N. B: Tafadhali weka Comment, Piga simu, Tuma Normal Sms au DM kwa swali lolote. Nipo kwa ajili yako.