online GOVT applications
Senior Member
- Sep 7, 2026
- 185
- 182
- Thread starter
-
- #21
Aende kwanza, akianza tena itaonesha duplicationHuduma nzuri sana mkuu
Nina swali
Kuna mdogo wangu alianza maombi ya online ya passport, akamaliza ikabaki kupeleka viambatanisho uhamiaji, ilikuwa 2023 hakupeleka aliprint tu akabaki na copy.
Swali ni hivi atatakiwa aanze upya au anaendelea tu palepale?
Hilo ndo kipaumbele changu namba 1, asante sana kwa kunikumbushaDah ngoja nikusave, huduma nyingi sana, kazi nzuri. Kikubwa uhaminifu na "usiri/privacy" ya data za wateja.
Mimi mfanya biashara nlikuwa nataka bima kwa ajili ya mtoto mchanga umri miezi 5 nipe details tufanye kaziWe ni muajiriwa wa serikali? Na bado hauna bima ya afya NHIF au unawaweka wategemezi wako basi usijali
Nakufungulia akaunti kama hauna na nawaingiza wategemezi wako wote kwenye bima
Ada ya huduma yangu ni 10000 tu na malipo baada ya kazi
Specialise hapo upige fedha!Nafanya lakini kwa uzoefu wangu wengi karibia asilimia 90 huishia njiani nyaraka na details nyingi hawana, nawashaur waende ofisi physically
Sawa karibu, malipo ya serikali ni 150,000 toto afyaMimi mfanya biashara nlikuwa nataka bima kwa ajili ya mtoto mchanga umri miezi 5 nipe details tufanye kazi
Ntafanyia kazi hiliSpecialise hapo upige fedha!
Historia mkuuKwahiyo hivyo vyeti vya typewrited vinarudishwa au tutakaa navyo kama historia
KaribuDuh hii nzuri
KaribuAll the best mkuu nitakushtua
mbona changu wamekichukua kwa nguvu mwezi uliopitaHistoria mkuu
Pole sana mkuu inategemea na sehemu mm wateja wangu wote wamebak navyombona changu wamekichukua kwa nguvu mwezi uliopita