Megastructures mlizozipinga zimeibadili taswira ya Tanzania, mlikurupuka kumkosoa Rais Magufuli

Achilia mbali utawala uliowaumiza wengi ila mwendazake na genge lake kaipiga nchi sana aisee!!
 
ndezi kweli wewe.. kule kwenu msanga mamako akienda kujifungua anapita kwenye fly over ?
hata barabara ya vumbi tu hakuna afu unaleta nye nye nye nye na meko wako🐖🐖🐖
Ndezi haujui unachokiandika haujui vipaumbele vya serikali na mahitaji ya eneo husika
 
Binadamu. ni wapumbavu sana hamna shukran
Wewe simbilisi umetumwa na babu yako polepole kuja kuwatukana watu humu? Utakimbia muda si mrefu ukiwa umechafuka vibaya huko kwenye mak. Alio yako.

Na ndiyo maana nimekutahadharisha hapo juu! Watch your back little child!
 
Mmeua mzunguko wa biashara, mmeua kilimo, hakuna ajira! Mmeshindwa kuwapandisha vyeo wafanyakazi, nk. Hao wananchi watakao nufaika ni wananchi wa aina gani? Bodaboda na mama ntilie?
Unaongelea corona au umeisahau... Kuna mambo ni uncontrollable like pendamic n alike. Yote yamechangia sana kuua biashara
 
Hujui na wala hujawahi kuona megastructure, ushamba unakusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…