50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Akimaliza kumi tumwongeze kumi mingineMagu haondoki madarakani au nasema uongo ndugu zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akimaliza kumi tumwongeze kumi mingineMagu haondoki madarakani au nasema uongo ndugu zangu.
Ahaaa. Hoja yako ilikuwa ni kukaguliwa. Sasa umejua kuwa wanakaguliwa unaleta story za ajabu.
Hiyo ni hali na hulka yako, ya "kutopenda kukosoa kila kitu" , upinzani halisi, lazima utafute cha kuchallenge. Usiwe zazwa. Mumeo akifanya mambo bila kosa. Tafuuta sababu, mchallenge. Its when we are tested when we know our true standingsWapinzani wa Tanzania wanakasumba mbaya sana. Wao kila jambo ni kukosoa tu.
Wakiona serikali inajenga shule,hospital, barabara au stendi ya mabasi wao ni kukosoa tu.
Nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye miji yetu tangu JPM awe rais.Naweka baadhi ya mifano. Nilishuhudia mkoa wa Singida ukipata stendi mpya ya kisasa iliyogharaimu bil 12 +.
Pia tumeshuhudia stendi mpya ya kisasa jijini Dodoma na soko kubwa la kisasa la Ayubu Ndugai. Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli ni ya kutiliwa mfano. Maana ni zaidi ya Johanesburg park station.
Wapinzani tokea JPM aingie madarakani mlikuwa mnakosoa na kumdhihaki kuw ni mzee wa kupenda Megastructures. Je, sasa hamuoni zilivyobadili taswira ya taifa letu? Hamuoni kuwa ni kaendeleo makubwa na miundo mbinu ya kisasa ambayo itaongeza mapato kwa taifa?
My take; Tusipende kukosoa kila kitu,hata mradi wa JNHPP ukikamilika itakuwa ni Megastructure inayotusaidia.
Unachafua uzi wa wanaume.Hiyo ni hali na hulka yako, ya "kutopenda kukosoa kila kitu" , upinzani halisi, lazima utafute cha kuchallenge. Usiwe zazwa. Mumeo akifanya mambo bila kosa. Tafuuta sababu, mchallenge. Its when we are tested when we know our true standings
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mko vizuri sana kwenye taarifa za kwenye makaratasi! Ila ukija kwenye maisha halisi ya Watanzania, mambo ni tofauti kabisa.
Mna mkakati wowote ule wa kuboresha kilimo awamu hii? Mna mkakati wa dhati wa kuboresha mazingira ya kufanya biashara?
Mna mkakati wowote ule wa kupunguza tatizo la ajira na pia kuboresha maisha ya wafanyakazi? Kote huko majibu yamekaa kisiasa na kinadharia zaidi! Kubali tu, Raus wako kipenzi ni failure!!
Unatesekaga sana, modes wamefuta jibu langu kwako kule kwa thread ingine, I insist, utateseka sana.Una uhakika zitaenda kumsaidia mwananchi wa kawaida, au zitatumika kumalizia ujenzi wa Ikulu yenu ya kifahari kwa ajili ya PK mtarajiwa?
Unataka nitupie ripoti nzima? Acha ubishi wa kitotoView attachment 1714958
Kilimo kinaboreshwaje mkuu?
Ile ya kugawa pembejeo?
Kwa nia nzuri na si kukupinga naomba mawazo yako mkuu..
Hiki ndiyo nini? Ujui ata ATCL imekua chini ya Ikulu kuanzia lini...yaani tuna shida kweliUsihamishe magoli. Acha kukaririshwa.View attachment 1714929View attachment 1714929
Ufisadi gani mumetoka? Na hizo Tsh 2.4 Trillion ambazo Prof Assad mulitoa majibu zilikwenda wapi? Mkaishia kimkatiza Mkataba CAG Prof AssadUnaweza kueleza sababu ya hii chuki kubwa kwa mwenzako? Alikuvurugia wewe hizo 10% zako inaonekana maana si kwakuropoka kwako huku...Pole, hakuna jinsi ndiyo tumeshatoka kwenye ufisadi jizoeze kuishi kawaida
Unaishia kusema mafisadi wamepanic! Nani Ni fisadi? Na niambie kwenye ile Mahakama ya Mafisadi mumemhukumu nani so far?I doubt if any would understand what you mean...Ujue wamamua kutoelewa, tuendelee tu kuitumikia nchi yetu...Wakikua wataacha! Let us give them time!
Matundu ya vyoo utajenga kwa pesa zipi kama huna miradi ya kuzalisha?
Kwahiyo unaona bora tuendelee kupewa samaki badala ya kujifunza kuvua siyo...Mwl Nyerere angewaza kama wewe leo hii sijui hata kama key board ungejua inabonyezwaje wewe na ukoo wako...Pole mafisadi mme panic...Tulieni dawa iingie
Na wakala wa Boeing kwa Africa ambaye alikuwa anawabebea 10% yao Ni Roastam Aziz. Na ndiyo sababu ya ule ukaribu waoNi sarakasi za kisiasa za kupiga pesa ndefu huku ngumbaru wanaooibiwa wakifurahia.
Kama haya manunuzi yangekuwa na ufanisi na manufaa kwa umma tungewekewa wazi mahesabu.
Leta picha za Jo'burg Park station na hizi Magufuli stations tufanye comparison kabla hatuja endelea na mjadala.
Mimi nilishasema hizi habari za Magufuli anajinadi eti ni kinara wa kupiga vita ufisadi, labda kwa maadui zake na watu ambao hana interest zake kwao tu.Na wakala wa Boeing kwa Africa ambaye alikuwa anawabebea 10% yao Ni Roastam Aziz. Na ndiyo sababu ya ule ukaribu wao
Inaonyesha unafanya kulinganisha vitu kwa kuendeshwa na mahaba na hisia lkn huwezi kuthibitisha.Hakuna haja ya picha, Magufuli bus terminal ni ya kisasa zaidi.
Lete picha tu compareHiyo stand mpya ya Mbezi is exaggerated ni ya kawaida sana hasa ukilinganisha na za nchi nyingine, sijaona upekee kihivyo.
Ndiyo, kwahiyo!Mmeua mzunguko wa biashara, mmeua kilimo, hakuna ajira! Mmeshindwa kuwapandisha vyeo wafanyakazi, nk. Hao wananchi watakao nufaika ni wananchi wa aina gani? Bodaboda na mama ntilie?
Good analysis [emoji122][emoji122][emoji122]GDP ya tanzania mpaka january imefika $70B, just $19 billion less to lead the whole east africa, kwahio kwa haraka haraka tuseme ule mradi wa mafuta wa uganda + sgr will be enough to throw us mpaka atleast $94B, this is all you need to know kuhusu swla la maisha kuboreka hilo ni swala la jitihada za mwananchi mwenyewe! tayar infrastructure umewekewa! kama unafanya kilimo kusafirisha mzigo mpaka dar kwa treni haizidi 8K, kwa basi inafika mpaka 20K, kazi imebaki kwako sasa.