Megastructures mlizozipinga zimeibadili taswira ya Tanzania, mlikurupuka kumkosoa Rais Magufuli

Wapinzani wa Tanzania wanakasumba mbaya sana. Wao kila jambo ni kukosoa tu.

Wakiona serikali inajenga shule,hospital, barabara au stendi ya mabasi wao ni kukosoa tu.

Nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye miji yetu tangu JPM awe rais.Naweka baadhi ya mifano. Nilishuhudia mkoa wa Singida ukipata stendi mpya ya kisasa iliyogharaimu bil 12 +.

Pia tumeshuhudia stendi mpya ya kisasa jijini Dodoma na soko kubwa la kisasa la Ayubu Ndugai. Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli ni ya kutiliwa mfano. Maana ni zaidi ya Johanesburg park station.

Wapinzani tokea JPM aingie madarakani mlikuwa mnakosoa na kumdhihaki kuw ni mzee wa kupenda Megastructures. Je, sasa hamuoni zilivyobadili taswira ya taifa letu? Hamuoni kuwa ni kaendeleo makubwa na miundo mbinu ya kisasa ambayo itaongeza mapato kwa taifa?

My take; Tusipende kukosoa kila kitu,hata mradi wa JNHPP ukikamilika itakuwa ni Megastructure inayotusaidia.
Halafu ukiambiwa wewe ni mwoga na mvivu wa maisha ,utaanza kusema unaonewa
 
Ukitaka kujua kuwa masoko ni uwekezaji wa kipuuzi angalia Machinga Complex na soko la Mwanjelwa Mbeya. Nani atapanda ghorofani pale Kisutu au Magomeni kwa mfano kwa ajili ya kununua viazi au nyanya?
Wachuuzi wa masokoni hawawezi kumudu hizo Kodi kwa kuwa wateja wao nao hawawezi kwenda kununua bidhaa hizo huko ghorofani
Nafikiri ni suala la kufanya mabadiliko. Kodi ziwe kidogo wafanyabiashara waweze kupanga kwa bei rahisi. Kila mtanzaniana ataweza kufanya biashara kwenye masoko ya kisasa na wateja kupatikana.
 
For God sake how can public infrastructure be a liability other than investments?

Hivi si tulikuwa tunaimba mchana na usiku kwenye DS 200 we are underdeveloped because of poor infrastructure?

Ewe kizazi cha Tanzania, ebu ondoka kwenye usingizi na upofu uliozoeshwa na westerners...Basi huko mataifa ya wenzetu ambao wanazo hizo structure na wanaoendelea kujenga kama Dubai mbona hawasemi itawaletea hasara?

Yes I can perceive what you mean; kwamba ukampa poor person 1B USD anaweza asijue pa kuipeleka kwakua aliwaza kupata 10,000 ya kununua chips kuku, tu kila siku akadhani ndiyo matimizi pekee ya cash...In that perspective I get what you mean
 
Nafikiri ni suala la kufanya mabadiliko. Kodi ziwe kidogo wafanyabiashara waweze kupanga kwa bei rahisi. Kila mtanzaniana ataweza kufanya biashara kwenye masoko ya kisasa na wateja kupatikana.
Hii sasa si kazi ya Rais ni kazi ya wachumi na ma bwana mipango...
 
Nafikiri ni suala la kufanya mabadiliko. Kodi ziwe kidogo wafanyabiashara waweze kupanga kwa bei rahisi. Kila mtanzaniana ataweza kufanya biashara kwenye masoko ya kisasa na wateja kupatikana.
Wachumi wetu kwasababu ya kuishi katika umasikini wanatoa high interest rate kwa public investments...They want it now...High time preferences...These are public investments return yake inaweza kuwa after 100 years...Wao wanapofanya discounting wanaipa muda mfupi kama vile private investments
 
Mbona mnapenda sana uzandiki? Kasima ya Atcl kuhamishiwa Ikulu ndio hakuna ukaguzi?

Sasa hivi Dunia nzima ndege kubwa haziruki. Dreamliners zitakuja kufanya kazi.
Kasma namba 20, haikaguliwi na CAG. Kama hujui basi leo unajulishwa. Dreamliners zilikuwa IDLE hata kabla ya COVID 19.

Usione vile American Airways au British Airways inapepea ukadhani ni mali za Seikali za US au UK. Wenzetu wanajuwa biashara ya AIRLINE ni pasua kichwa. Wanachofanya wanaweka hisa kwenye kampuni binafsi ambayo inaruhusiwa kubeba bendera ya nchi.

Amini usiamini, atakachofanya Rais atakayemfuata Meko Ni kuuza Dreamliners. Hizo Airbus na Bombardier hazina shida
 
Kisha kingine huwezi kuwaacha watu wale wale ambao kabla ya kudevelop hizo structure kuendelea kuendesha business kama vile wapo kwenye vile vibanda vya zamani....You have to add value to their businesses; how ?
Ndipo tofauti ya shule ya uchumi na mipango inapoonekana...Mf. kwa machinga wetu wa kule kariako na kisutu kuna model iliyojitengeneza kuwa wenye maduka makubwa ndiyo wanawapa hizo goods machinga waziuze nao wanamakubaliano yao yasiyo rasmi i.e marketing strategies kwenye hiyo chain ya machinga; then wanaostahili kupewa hizo structure ni wale ambao wamezoea biashara za kwenye structures kama hizo ulizo develop na siyo hao machinga waliozoea kutembeza biashara.

Ili usiwafanyie machinga economic displacements, basi formalize huo mfumo wao kwakuwatambua na kuwa link na hao ambao wanafanya nao biashara kwakuwatengenezea contracts huku machinga apewe right to own hiyo structure based in individuals or groups. Mwenye duka apange (rent) alipe kiasi ambacho machinga angelipa au kidogo juu na mfumo wao uendelee kama kawaida; hapo utakuwa ume double kipato cha mmachinga baada ya muda atamwondoa au ata negotiate a better price na huyo mpangaji wake. Hii ikitokea utakuwa umewaweka machinga wote kwakuwapandisha hadhi kwenye jengo lao in an evolving manner kila mtu kwa speed yake ya kuji realize...Wapo ambao mpaka kufa watabakia hapo hapo wakiwapangisha hao wauzaji kweli i.e biashara zao...Serikali hapo unakuwa broker wao na kuhakikisha hakuna kuoneana through policies and governance...What I see is lack of creativity ya watu wetu
 
Kwanini ishindwe kwamfano? Kama wewe umezoea kuona failures wengine tumezoea kuona success hata kwenye viashiria vyote vya failure...

Yes praise team and who are you, our DJ?
Sijadiri na watoto
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ahaaa. Ikulu au tunazungumzia Atcl kama shirika la umma? Kuwa chini ya katibu mkuu kiongozi ndio alikaguliwi?
Aya mambo waachie watu waelewa...tu .Inawezekana ata Ikulu ujui maana yake ata Katibu mkuu kiongozi ujui maana yake
 
Kwani kupanda gorofani miguu inakatika? Its because wale wamachinga wazamani hiyo siyo life style yao; what about machinga hawa wapya ambao ni graduates where will they go?

Kuna cohort ya viongozi wale wa kizazi cha transition ndiyo ambao hawajaelewa what is and should be done, ukiona Mh. Anaanza kutafuta nje ya mifumo ujue anataka kuleta change in the perspperspective ya utendaji kwenye governance...All you see is negative....Full of negativity...

Tanzania ni nchi nayo inaishi miaka zaidi ya billion unaweza wewe usione faid aya hiki leo lakini 10 years down the lane ndiyo utagundua ulijilisha matango pori...

Thats why some of us advocate HE to remain in his position...Sasa umpate successor anayewaza kama wewe si ndiyo utatuambia miradi yote ni hasara kumbe hasara ni ubongo wako na macho yako yasiona mbali...Sorry for hard words...Please ebu ifikie sehemu tukubali kuwa mwenzetu anamaono ya mbali, na tumpe nafasi atupeleke mpaka upofu wetu ututoke
Ana maono gani Meko? Mnasifia UJINGA mtupu halafu ni wasahaulifu. Huyu anapenda tu KUVURUGA mifumo waliyoanza wenzie na kuingia miradi ya inayompatia 10%.

Unsahau kwamba huyu akiwa Waziri ndiyo alihusika na kununua fast ferry ya Bagamoyo. Jiulize iko wapi leo? Umesahau Meko alisema wakuima wa korosho wanaibiwa matokeo yake akaliingiza Jeshi kwenye korosho. Athari zake mpaka Leo kuna wakulima hawajalipwa na biashara ya korosho imedrop.

Huyu akiwa Waziri wa Ujenzi ndiyo katujengea Mwendokasi pale Jangwani, angalia athari za mafuriko.

Labda binadamu tunapishana uwezo wa akili. Kama una mu-admire Meko kuwa ana maono Basi wewe una ubongo wa kuku.
 
........ kama unafanya kilimo kusafirisha mzigo mpaka dar kwa treni haizidi 8K, kwa basi inafika mpaka 20K, kazi imebaki kwako sasa.
mkuu hiyo gharama ni ya kutoka mkoa gani? na inachukua siku ngapi?Naomba ni jibiwe maswali yangu...
 
Kisha kingine huwezi kuwaacha watu wale wale ambao kabla ya kudevelop hizo structure kuendelea kuendesha business kama vile wapo kwenye vile vibanda vya zamani....You have to add value to their businesses; how ?
Ndipo tofauti ya shule ya uchumi na mipango inapoonekana...Mf. kwa machinga wetu wa kule kariako na kisutu kuna model iliyojitengeneza kuwa wenye maduka makubwa ndiyo wanawapa hizo goods machinga waziuze nao wanamakubaliano yao yasiyo rasmi i.e marketing strategies kwenye hiyo chain ya machinga; then wanaostahili kupewa hizo structure ni wale ambao wamezoea biashara za kwenye structures kama hizo ulizo develop na siyo hao machinga waliozoea kutembeza biashara.

Ili usiwafanyie machinga economic displacements, basi formalize huo mfumo wao kwakuwatambua na kuwa link na hao ambao wanafanya nao biashara kwakuwatengenezea contracts huku machinga apewe right to own hiyo structure based in individuals or groups. Mwenye duka apange (rent) alipe kiasi ambacho machinga angelipa au kidogo juu na mfumo wao uendelee kama kawaida; hapo utakuwa ume double kipato cha mmachinga baada ya muda atamwondoa au ata negotiate a better price na huyo mpangaji wake. Hii ikitokea utakuwa umewaweka machinga wote kwakuwapandisha hadhi kwenye jengo lao in an evolving manner kila mtu kwa speed yake ya kuji realize...Wapo ambao mpaka kufa watabakia hapo hapo wakiwapangisha hao wauzaji kweli i.e biashara zao...Serikali hapo unakuwa broker wao na kuhakikisha hakuna kuoneana through policies and governance...What I see is lack of creativity ya watu wetu
Kwa hiyo hivyo ndiyo vipaumbele vya Taifa? Kabisa akili yako haikutumi kwamba tunahitaji watu wetu waache kunywa maji yenye matope, watoto wa Tanzania wakawa kwenye madarasa nanwawe kwenye madeski?, Hospitali zetu ziwe na dawa na vifaa tiba?

Unaona kweli tuendelee kujengewa matundu ya vyoo na USAID wakati sisi tunajenga masoko na stendi? Kama hizi akili zenu ndizo zinamshangilia Meko basi Tanzanian imejaa raia pumbavu
 
GDP ya tanzania mpaka january imefika $70B, just $19 billion less to lead the whole east africa, kwahio kwa haraka haraka tuseme ule mradi wa mafuta wa uganda + sgr will be enough to throw us mpaka atleast $94B, this is all you need to know kuhusu swla la maisha kuboreka hilo ni swala la jitihada za mwananchi mwenyewe! tayar infrastructure umewekewa! kama unafanya kilimo kusafirisha mzigo mpaka dar kwa treni haizidi 8K, kwa basi inafika mpaka 20K, kazi imebaki kwako sasa.
So ukiwa na baba tajiri na mwenye pesa, anamajumba na magari na biashara lakini ninyi kama watoto hakuna mnachopata kwake.

Yaank hawahudumii, hamtumii gari yoyote mnatumia daladala, hampati msaada wowote hata wa matibabu au chakula hampati.

Hivi katika hali hiyo hata baba yako akisifiwa kuwa ni mtu mwenye mali kwako kama mtoto wake unakuwa na faida gani hata kuitwa jina lake?!
 
Ana maono gani Meko? Mnasifia UJINGA mtupu halafu ni wasahaulifu. Huyu anapenda tu KUVURUGA mifumo waliyoanza wenzie na kuingia miradi ya inayompatia 10%.

Unsahau kwamba huyu akiwa Waziri ndiyo alihusika na kununua fast ferry ya Bagamoyo. Jiulize iko wapi leo? Umesahau Meko alisema wakuima wa korosho wanaibiwa matokeo yake akaliingiza Jeshi kwenye korosho. Athari zake mpaka Leo kuna wakulima hawajalipwa na biashara ya korosho imedrop.

Huyu akiwa Waziri wa Ujenzi ndiyo katujengea Mwendokasi pale Jangwani, angalia athari za mafuriko.

Labda binadamu tunapishana uwezo wa akili. Kama una mu-admire Meko kuwa ana maono Basi wewe una

Ana maono gani Meko? Mnasifia UJINGA mtupu halafu ni wasahaulifu. Huyu anapenda tu KUVURUGA mifumo waliyoanza wenzie na kuingia miradi ya inayompatia 10%.

Unsahau kwamba huyu akiwa Waziri ndiyo alihusika na kununua fast ferry ya Bagamoyo. Jiulize iko wapi leo? Umesahau Meko alisema wakuima wa korosho wanaibiwa matokeo yake akaliingiza Jeshi kwenye korosho. Athari zake mpaka Leo kuna wakulima hawajalipwa na biashara ya korosho imedrop.

Huyu akiwa Waziri wa Ujenzi ndiyo katujengea Mwendokasi pale Jangwani, angalia athari za mafuriko.

Labda binadamu tunapishana uwezo wa akili. Kama una mu-admire Meko kuwa ana maono Basi wewe una ubongo wa kuku.
Unaweza kueleza sababu ya hii chuki kubwa kwa mwenzako? Alikuvurugia wewe hizo 10% zako inaonekana maana si kwakuropoka kwako huku...Pole, hakuna jinsi ndiyo tumeshatoka kwenye ufisadi jizoeze kuishi kawaida
 
GDP ya tanzania mpaka january imefika $70B, just $19 billion less to lead the whole east africa, kwahio kwa haraka haraka tuseme ule mradi wa mafuta wa uganda + sgr will be enough to throw us mpaka atleast $94B, this is all you need to know kuhusu swla la maisha kuboreka hilo ni swala la jitihada za mwananchi mwenyewe! tayar infrastructure umewekewa! kama unafanya kilimo kusafirisha mzigo mpaka dar kwa treni haizidi 8K, kwa basi inafika mpaka 20K, kazi imebaki kwako sasa.
I doubt if any would understand what you mean...Ujue wamamua kutoelewa, tuendelee tu kuitumikia nchi yetu...Wakikua wataacha! Let us give them time!
 
GDP ya tanzania mpaka january imefika $70B, just $19 billion less to lead the whole east africa, kwahio kwa haraka haraka tuseme ule mradi wa mafuta wa uganda + sgr will be enough to throw us mpaka atleast $94B, this is all you need to know kuhusu swla la maisha kuboreka hilo ni swala la jitihada za mwananchi mwenyewe! tayar infrastructure umewekewa! kama unafanya kilimo kusafirisha mzigo mpaka dar kwa treni haizidi 8K, kwa basi inafika mpaka 20K, kazi imebaki kwako sasa.
I doubt if any would understand what you mean...Ujue wamamua kutoelewa, tuendelee tu kuitumikia nchi yetu...Wakikua wataacha! Let us give them time!
Kwa hiyo hivyo ndiyo vipaumbele vya Taifa? Kabisa akili yako haikutumi kwamba tunahitaji watu wetu waache kunywa maji yenye matope, watoto wa Tanzania wakawa kwenye madarasa nanwawe kwenye madeski?, Hospitali zetu ziwe na dawa na vifaa tiba?

Unaona kweli tuendelee kujengewa matundu ya vyoo na USAID wakati sisi tunajenga masoko na stendi? Kama hizi akili zenu ndizo zinamshangilia Meko basi Tanzanian imejaa raia pumbavu
Matundu ya vyoo utajenga kwa pesa zipi kama huna miradi ya kuzalisha?

Kwahiyo unaona bora tuendelee kupewa samaki badala ya kujifunza kuvua siyo...Mwl Nyerere angewaza kama wewe leo hii sijui hata kama key board ungejua inabonyezwaje wewe na ukoo wako...Pole mafisadi mme panic...Tulieni dawa iingie
 
Back
Top Bottom