Megastructures mlizozipinga zimeibadili taswira ya Tanzania, mlikurupuka kumkosoa Rais Magufuli

Magufuli bus terminal ni ya kisasa zaidi. Kuwa nje ya mji sio sababu kuwa haina ubora wa kimataifa.

Hizo kevel tatu sio sababu ya kuwa ya kisasa kama Magufuli bus station
Inaeleweka ni ya kisasa kwa kuwa ni Magufuli Bus Station na ni badala ya ile ya zamani ya Ubungo, hizo level tatu siyo za Magufuli Jo'burg Park kwa hiyo haiwezi kuwa ya kisasa. Magufuli kila kitu, Uwanja wa Ndege wa Chato ni wa kisasa kuliko wa Dubai!
 

hizi ndo akili za upinzani? kwan lazima serikali ikuajiri?
 
Dawa inayo wafaa nyinyi ni mapinduzi tu. Hakuna namna. Hamuwezi kutuumiza mtaani kwa kisingizio cha kujenga hiyo miundombinu yenu.

mnasubiria nn sasa kufanya mapinduzi? ndo maaana hata mkiitisha maandamano mnakua wenyewe maaana akili zenu ni kama choo tu
 
au wewe ndio jiwe mwenyewe naona unatuenjoy tu hapa jf
Mimi lazima niisubiri serikali sababu wao walizunguka nchi nzima wakituambia watatupa ajira sasa inakuaje Leo waanze kugeuka vitu walivyotuaidi wenyewe

hizo ndo akili ambazo znataka tanzania iendelee???/ safari ni ndefu aisee
 
Wewe ni mgonjwa wa akili, yaani hujui kuwa vitu vyote unavyovisema viko kwenye utaratibu, Awepo Kaka yako au asiwepo bado maendeleo yagetekelezwa tena asingekuwepo kasi ingekuwa kubwa zaidi na kwa nchi nzima sio kama anavyofanya sasa kila kitu Chato na kidogo dar,dom na mwanza
 
Ali ping wa na nani
 
Awepo ? Asiwepo vinafanyika? Huna aibu baradhuli mkubwa.
 
Unajua wapuuzi ni wengi,, tolipofikia hapa kama umasikini umeongezeka au kupungua,, maduka kufungwa,,kodi kuwa kubwa,, barabara mbovu,,zote hizo ni juhudi za CCM
 
๏ฝ‹๏ฝ—๏ฝ ๏ฝˆ๏ฝ‰๏ฝ™๏ฝ ๏ฝ๏ฝŽ๏ฝ๏ฝ๏ฝ๏ฝ‰๏ฝŽ๏ฝ‡๏ฝ ๏ฝ๏ฝŽ๏ฝ๏ฝ”๏ฝ๏ฝ‹๏ฝ ๏ฝ”๏ฝ•๏ฝŒ๏ฝ‰๏ฝ๏ฝ—๏ฝ… ๏ฝ”๏ฝ•๏ฝŽ๏ฝ™๏ฝ—๏ฝ… ๏ฝ”๏ฝ•๏ฝ—๏ฝ… ๏ฝŽ๏ฝ ๏ฝŽ๏ฝ™๏ฝ•๏ฝ๏ฝ‚๏ฝ ๏ฝŽ๏ฝ„๏ฝ๏ฝ‡๏ฝ ๏ฝŽ๏ฝ™๏ฝ‰๏ฝ‰๏ฝŽ๏ฝ‡๏ฝ‰ ๏ฝˆ๏ฝ๏ฝŒ๏ฝ๏ฝ†๏ฝ• ๏ฝ”๏ฝ•๏ฝ๏ฝ๏ฝ”๏ฝ… ๏ฝ•๏ฝ‹๏ฝ‰๏ฝ๏ฝ—๏ฝ‰ ๏ฝ”๏ฝ•๏ฝ†๏ฝ….
๏ฝˆ๏ฝ•๏ฝ‹๏ฝ• ๏ฝ๏ฝ‰๏ฝŠ๏ฝ‰ ๏ฝ‰๏ฝ…๏ฝŽ๏ฝ„๏ฝ…๏ฝŒ๏ฝ…๏ฝ… ๏ฝ‹๏ฝ•๏ฝ‚๏ฝ๏ฝŽ๏ฝ๏ฝŽ๏ฝ ๏ฝ๏ฝ๏ฝ‡๏ฝ๏ฝ’๏ฝ‰.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kwann umetumia gamboshi? Kwan gambosh n sawa na chatu
 
Kwahiyo bei ya vitu imeshuka sababu ya hiyo miradi na maisha ya watanzania yamekuwa rahisi sn?
 
Hii miradi watu wamepiga sn 20%
 
hizo ndo akili ambazo znataka tanzania iendelee???/ safari ni ndefu aisee
watu kama nyie hua ni wa kuupuza tu unakuta umeajiriwa na unaishi kwa mshaara wa mwisho wa mwezi,lakini umekomaa kutoa ushauri kwa vijana kujiajiri.
Hivi no mazingira yapi mazuri nchi imeweka ya kuwawezesha vijana waweze kujiajiri na kujitegemea ili wasiisumbue serikali? Au ndio kila mtu apambane anavyojua.
 
Kwahiyo bei ya vitu imeshuka sababu ya hiyo miradi na maisha ya watanzania yamekuwa rahisi sn?
Unajua wapuuzi ni wengi,, tolipofikia hapa kama umasikini umeongezeka au kupungua,, maduka kufungwa,,kodi kuwa kubwa,, barabara mbovu,,zote hizo ni juhudi za CCM
Barabara mbovu tena๐Ÿ˜€ Bwashee si mlisema tupambane nao mendeleo y vitu hayana maana au barabara sio kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ