Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

Na kabla ya hiyo mei 9 watahakikisha wanampiga putin na kitu kizito ili kumfedhehesha zaidi.
Siku hiyo.ya may 9 victory day ya Urusi huwa anafanya military parade mavifaru yake yakipita kwa mbwembwe

baada ya kuwa yanabomolewa Kule Ukraine na makombora ya Javelin na hayarudi Safari hii sijui kama ataweka vifaru kwenye military parade ni aibu warusi wanaweza kuyazomea ma vifaru ya kirusi yakipita
 
Aisee marehemu hayati wa chato angekuwa na askari wengi kiasi hiki mbona tungekoma
 

Hehehe!! Tatizo la mataifa ya kijamaa watu wanakua na herd mentality kupelekeshwa kama makondoo na hakuna ambaye huhoji chochote, sasa hapo Urusi kwa hao majirani wapo mbioni kujiunga NATO, na hamna kitu anachoweza kuwafanya maana kuna baadhi ya hayo mataifa yanaizidi Ukraine kijeshi, hiyo hiyo Ukraine ambayo imeitoza Urusi makamasi inazidiwa na baadhi ya hao wanaohamia kujiunga NATO.

Kwa mfano Sweden wana hadi sub marines.....
 
Atasingizia vita hivyo hatafanya Parade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman mmezidi ushabiki. Kwa taarifa yenu jana Russia wameanza kuishambulia Kyiv moja kwa moja. Sasa tusubili kama ngonjera zenu zitaendelea
Putin alilenga kuwa hiyo may 9 ya victory day ahutubie kwa mbwembwe kuteka Ukraine ndani ya siku Tatu. !! Na kushinda kivita!!! Sasa ataenda kwenye sherehe kalegea kama mlenda
 
Sidhani. Kwa jinsi walivyoharibiwa miji yao. It will take them years to rebuild. Mbaya zaidi mamluki wao (askali kutoka UK) wameanza kukamatwa na Russian forces
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji116]
 
[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Atazungumzia suala la njaa ya Kenya inavyomaliza watu, nahisi alishazungumza hili.
 
Sisi Mabepari tunaelewa vzr hilo na ndio maana tutaendelea kuua watu kwa mamilioni na hakuna wa kutufanya kitu.Mabepari tuko juu sana
 
Sidhani. Kwa jinsi walivyoharibiwa miji yao. It will take them years to rebuild. Mbaya zaidi mamluki wao (askali kutoka UK) wameanza kukamatwa na Russian forces
Sisi Wana NATO/Mabepari tunasema acha mercenaries wetu wauawe tu sio inshu maana hata sisi tumeua mamilioni ya watu huko Yugoslavia, Afghanistan,Libya,Iraq etc
 
Kateketeza kiwanda cha mizinga kilichopo Kyiv usiku wa leo. Officially kaanza kuilenga Kyiv
Acha propaganda mkuu.

1. Russia Ni Taifa maskini kabisa

2. wanajeshi wake walibakiwa na chakula Cha siku 3 tu

3.Wanajeshi wa Russia hawana morali ya kupigana kabisa.

4.Jeshi la Russia liliishiwa silaha kabisa mpk likaomba msaada china

5.Rais wa UKRAINE yaani amiri jeshi mkuuni mtu mwenye skills za Hali ya juu za mafunzo ya kijeshi kutoka nchi hatari za kijeshi ulimwenguni Kama USA,UK,France na hapo chini hapo Ni baadhi ya picha zake akiwa kazini kwny mafunzo ya kijeshi.
 
Unajua mfumo wa kujilinda na makombora wa urusi?.....hebu wajaribu waone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…