Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

Na kabla ya hiyo mei 9 watahakikisha wanampiga putin na kitu kizito ili kumfedhehesha zaidi.
Siku hiyo.ya may 9 victory day ya Urusi huwa anafanya military parade mavifaru yake yakipita kwa mbwembwe

baada ya kuwa yanabomolewa Kule Ukraine na makombora ya Javelin na hayarudi Safari hii sijui kama ataweka vifaru kwenye military parade ni aibu warusi wanaweza kuyazomea ma vifaru ya kirusi yakipita
 
Urusi ndio taifa lenye polisi wengi kwa uwiano wa raia, heavily policed country in the world. Yaani wana askari 564.6 kwa kila raia 100,000 sasa hebu linganisha na Tanzania ama Kenya ambapo kuna polisi mmoja kwa kila raia 1,200

Kwa hivyo huko kwao Urusi kukamatwa kamatwa hovyo huwa rahisi sana na jela zao zilvyo, yaani kila ukigeuza kuna aidha askari au usalama taifa au shushushu

Aisee marehemu hayati wa chato angekuwa na askari wengi kiasi hiki mbona tungekoma
 
Sisi wajamaa ni wepesi sana kuelewa, hatuna ubishi kama nyie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Utaona hiyo siku warusi wooote watakuwa wanashangilia utadhani wameshashinda hiyo operation tayari.

Na hotuba ya puttin siku hiyo itajikita kuzionya Norway na Finland juu ya azma zao za kujiunga NATO. Yaani ataonyesha siraha nzito nzito ambazo ataweka mpakani mwa nchi hizo iwapo tu zitajiunga nato, yaani aatatoa vitisho havina mfano.

Mwisho atapigiwa salute na makofi kama yote.

Hehehe!! Tatizo la mataifa ya kijamaa watu wanakua na herd mentality kupelekeshwa kama makondoo na hakuna ambaye huhoji chochote, sasa hapo Urusi kwa hao majirani wapo mbioni kujiunga NATO, na hamna kitu anachoweza kuwafanya maana kuna baadhi ya hayo mataifa yanaizidi Ukraine kijeshi, hiyo hiyo Ukraine ambayo imeitoza Urusi makamasi inazidiwa na baadhi ya hao wanaohamia kujiunga NATO.

Kwa mfano Sweden wana hadi sub marines.....
 
Siku hiyo.ya may 9 victory day ya Urusi huwa anafanya military parade mavifaru yake yakipita kwa mbwembwe

baada ya kuwa yanabomolewa Kule Ukraine na makombora ya Javelin na hayarudi Safari hii sijui kama ataweka vifaru kwenye military parade ni aibu warusi wanaweza kuyazomea ma vifaru ya kirusi yakipita
Atasingizia vita hivyo hatafanya Parade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman mmezidi ushabiki. Kwa taarifa yenu jana Russia wameanza kuishambulia Kyiv moja kwa moja. Sasa tusubili kama ngonjera zenu zitaendelea
Putin alilenga kuwa hiyo may 9 ya victory day ahutubie kwa mbwembwe kuteka Ukraine ndani ya siku Tatu. !! Na kushinda kivita!!! Sasa ataenda kwenye sherehe kalegea kama mlenda
 
Sidhani. Kwa jinsi walivyoharibiwa miji yao. It will take them years to rebuild. Mbaya zaidi mamluki wao (askali kutoka UK) wameanza kukamatwa na Russian forces
Bahati ya Warusi Ukraine wanajilinda tu dhidi ya uvamizi na mashambulizi ya jeshi la Putin. Hawana mzozo na Urusi wala raia wa Urusi.

Wangekuwa na Rais mwehu asiyejali nao wangeweza kurusha baadhi ya makombora kwenye miji ya Urusi na kuzua taharuki kubwa huko. Walivyolipua meli ya Moskva ni kielelezo tu.
 
MNAG
FQKyN2tXsAEBjsD.jpg
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji116]
JamiiForums1861933153.jpg
 
Correction. Mkuu hakuna ujamaa Urusi. Kuna dikteta na maoligarch yenye kumiliki utajiri wa kutisha zikiwemo super luxury yachts, private jets na mijengo kadhaa huko New York, London, Paris, Luxembourg, etc. na billions of USD kwenye mabenki ya mabepari wa dunia.

Raia wa kawaida ndio wanyonge wenye kulishwa propaganda za uzalendo kama ilivyo kwa dunia ya tatu.
[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
FQCL-hqXwAMebg1.jpg
 
Mei 9 hutumika kama maadhimisho ya kijeshi ya kusheherekea ushindi dhidi ya Hittler, na kawaida wanajeshi Warusi hufanya gwaride zao kwa mbwembwe na huonyesha zana zao za kivita kama mikwara kwa dunia. Pia Putin hutumia hiyo siku kueleza ushindi wa Urusi kwenye mapambano mbali mbali.

Sasa huyo Putin alifanya kitu alichoita "special operation" ya muda mfupi ili kuwatoa manazi kwenye uongozi wa Ukraine kataifa kadogo jirani yake, kilichomkuta amepoteza maelfu ya wanajeshi Warusi, zana zake zimelipuliwa hadi meli kadhaa na mindege na mamia ya vifaru na bado Kiev ilishindikana akaanza kugeuza ila huko huko alikogeuzia bado alifuatwa na kichapo na sasa kuna taarifa Ukraine wameanza kutembeza kichapo ndani ya Urusi, pia uchumi wa Urusi umeporomoka unaangukia pua.

Hali imekua mbovu mpaka ameweka dau la hela ndefu wapiganaji wa kimataifa waje kumsaidia.

Hivi atakapopewa mic aongee, atawaambia nini Warusi, au atabwatuka tu mikwara, japo pia Urusi ni taifa la kijamaa, na kawaida ya raia wajamaa huwa wapo wapo tu, wataambiwa chochote na kuendana nacho kama kilivyo....

===

What was Putin's goal?​

The Russian leader's initial aim was to overrun Ukraine and depose its government, ending for good its desire to join the Western defensive alliance Nato. He failed to capture the capital Kyiv and after a month of setbacks turned his ambitions to Ukraine's east and south.
Launching the invasion on 24 February he told the Russian people his goal was to "demilitarise and de-Nazify Ukraine", to protect people subjected to what he called eight years of bullying and genocide by Ukraine's government.
Foreign Minister Sergei Lavrov spoke of freeing Ukraine from oppression. Ukraine's democratically elected president, Volodymyr Zelensky, said "the enemy has designated me as target number one; my family is target number two".
Russia's leader refused to call it an invasion or a war, and made doing so a criminal offence. Instead it can only be termed a "special military operation"

Atazungumzia suala la njaa ya Kenya inavyomaliza watu, nahisi alishazungumza hili.
 
Sisi wajamaa ni wepesi sana kuelewa, hatuna ubishi kama nyie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Utaona hiyo siku warusi wooote watakuwa wanashangilia utadhani wameshashinda hiyo operation tayari.

Na hotuba ya puttin siku hiyo itajikita kuzionya Norway na Finland juu ya azma zao za kujiunga NATO. Yaani ataonyesha siraha nzito nzito ambazo ataweka mpakani mwa nchi hizo iwapo tu zitajiunga nato, yaani aatatoa vitisho havina mfano.

Mwisho atapigiwa salute na makofi kama yote.
Sisi Mabepari tunaelewa vzr hilo na ndio maana tutaendelea kuua watu kwa mamilioni na hakuna wa kutufanya kitu.Mabepari tuko juu sana
Screenshot_20220324-015904.jpg
 
Sidhani. Kwa jinsi walivyoharibiwa miji yao. It will take them years to rebuild. Mbaya zaidi mamluki wao (askali kutoka UK) wameanza kukamatwa na Russian forces
Sisi Wana NATO/Mabepari tunasema acha mercenaries wetu wauawe tu sio inshu maana hata sisi tumeua mamilioni ya watu huko Yugoslavia, Afghanistan,Libya,Iraq etc
FQYNC6OXIAEFbj-.jpg
 
Kateketeza kiwanda cha mizinga kilichopo Kyiv usiku wa leo. Officially kaanza kuilenga Kyiv
Acha propaganda mkuu.

1. Russia Ni Taifa maskini kabisa

2. wanajeshi wake walibakiwa na chakula Cha siku 3 tu

3.Wanajeshi wa Russia hawana morali ya kupigana kabisa.

4.Jeshi la Russia liliishiwa silaha kabisa mpk likaomba msaada china

5.Rais wa UKRAINE yaani amiri jeshi mkuuni mtu mwenye skills za Hali ya juu za mafunzo ya kijeshi kutoka nchi hatari za kijeshi ulimwenguni Kama USA,UK,France na hapo chini hapo Ni baadhi ya picha zake akiwa kazini kwny mafunzo ya kijeshi.
FQD27bFWYAU7Xrn.jpg
 
Bahati ya Warusi Ukraine wanajilinda tu dhidi ya uvamizi na mashambulizi ya jeshi la Putin. Hawana mzozo na Urusi wala raia wa Urusi.

Wangekuwa na Rais mwehu asiyejali nao wangeweza kurusha baadhi ya makombora kwenye miji ya Urusi na kuzua taharuki kubwa huko. Walivyolipua meli ya Moskva ni kielelezo tu.
Unajua mfumo wa kujilinda na makombora wa urusi?.....hebu wajaribu waone
 
Back
Top Bottom