Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Ngoja nika seti chumaHukuiona ikiwa inakuja hii🤣🤣
Ngoja nika seti chumaHukuiona ikiwa inakuja hii🤣🤣
Mkuu nielekeze kwa pusha unapochukua mzigo, nimependa jani unalotumia lina viwangoNashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi
Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi
Huku kwetu ni tofauti
1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali
Badala ya kulalamikia
2. Watumishi wamepewa Fulani na kofia, kesho watakuwa viwanjani kama mijusi kafiri
3 maslahi duni ya wafanyakazi hasa polisi na walimu
Hawa watu wanalipwa mishahara ya house girl ila kesho wataimba tenzi za kumtukuza Kizimkazi
4. Vyama vya wafanyakazi kutetea maslahi ya serikali
CWT, tucta n.k hao ni wana CCM
5 Mazingira magumu ya wafanyakazi
Hasa polisi na walimu ambao wanaishi kwenye mabanda, huku wabunge ambao hawana kazi ya maana wakilipwa mamilion ya pesa
6 Serikali kupuuza changamoto za wafanyakazi
Serikali imewaona wafanyakazi kama mazuzu licha ya kuelezea changamoto zao ila imepuuza
7 Kusalitiana baina ya wafanyakazi
Wafanyakazi hasa walimu hawa husalitiana, wengi wanalalamika maslahi duni, wengine wanamchukulua form ya urais mwanasiasa
Binafsi nadhani mei Mosi ndo iwe siku ya wajinga au mazuzu duniani
Nakuja na Rizzla za kutosha tujifukizePale Arusha Daraja mbili, ngarenaro
Kama mimi sipo huo utakua mkutano batili.
CrapNashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi
Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi
Huku kwetu ni tofauti
1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali
Badala ya kulalamikia
2. Watumishi wamepewa Fulani na kofia, kesho watakuwa viwanjani kama mijusi kafiri
3 maslahi duni ya wafanyakazi hasa polisi na walimu
Hawa watu wanalipwa mishahara ya house girl ila kesho wataimba tenzi za kumtukuza Kizimkazi
4. Vyama vya wafanyakazi kutetea maslahi ya serikali
CWT, tucta n.k hao ni wana CCM
5 Mazingira magumu ya wafanyakazi
Hasa polisi na walimu ambao wanaishi kwenye mabanda, huku wabunge ambao hawana kazi ya maana wakilipwa mamilion ya pesa
6 Serikali kupuuza changamoto za wafanyakazi
Serikali imewaona wafanyakazi kama mazuzu licha ya kuelezea changamoto zao ila imepuuza
7 Kusalitiana baina ya wafanyakazi
Wafanyakazi hasa walimu hawa husalitiana, wengi wanalalamika maslahi duni, wengine wanamchukulua form ya urais mwanasiasa
Binafsi nadhani mei Mosi ndo iwe siku ya wajinga au mazuzu duniani
Nishakaribia tena nipo seat mbele baada ya mgeni rasmi.Karibu
Vipi wewe ni mke wa mjumbe yoyote?Kama mimi sipo huo utakua mkutano batili.
Nakuja kutafuta mke wa kusogeza siku za kuishi,kama utakua tayari hata wewe utafaa kwa matumizi ya kibinadamu.Vipi wewe ni mke wa mjumbe yoyote?
oh guess you got a tight p, but I got a big d, so if i double you will get pt.Nakuja kutafuta mke wa kusogeza siku za kuishi,kama utakua tayari hata wewe utafaa kwa matumizi ya kibinadamu.
Tuendelee na kizaramo huko unaniacha njia panda mrembo.oh guess you got a tight p, but I got a big d, so if double you will get p.