Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Mama Samia ; sekta binafsi miaka 8 hawajapandishiwa mshahara, hapa nadhani mama kateleza,sekta binafsi gani hiyo miaka 8 hawajapandishiwa mishahara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...sekta binafsi labda mwaka jana sababu ya corona bt the rest watu walikua wanakula increment km kawaida.
 
Duuuh we jamaa ni famba sana yaan ,sijui unakijua unachokiongea au una harisha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Lee
Mama kapiga chenga la ongezeko
 
Mishahara Hakuna nyongezaaa woyoooooo...........

Jamani mama alishasema yeye na mwendazake ni kitu kimojaaaaa...... wafanyakazi vumilieni tuuu, kaahidi mwakani mambo yatakuwa poaaaaa.........
 
Reactions: Lee
Hakuna nyongeza....hadi mwakaniiiiiiii
 
[emoji23][emoji23] Niliwasiliana na demu wangu ambae ni mtoto wa mh mama nikamwambia mwambie mama asiongeze hata mia mama mkwe kanisikia[emoji4][emoji4][emoji847][emoji56][emoji3][emoji199]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…