Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] Ameshamaliza Mkuunilishindwa kuvumilia nikabadili channel kwa muda
Kwanini usimfuate huko alikoelekea?Jiwe ndio kiboko ya kila mpuuzi nchi hii.
Enzi hizo mwanaume akiongea kauli ni moja tu na mnaufyata.
Sasa hivi mnaleta unafki wa kupiga kelele mngeongea mbele ya kidume tuone kama mnayaweza.
Mafisadi na vibaraka walikimbia nchi.
Wafanyakazi wazembe na wezi waliichukia serikali maana waliishi kwa halali yao ya mshahara na posho wanayostahili.
Kile kidume ni noma ndio maana wabaya wake bado wanateswa na jinamizi lake wakilala jiwe wakiamka jiwe.
Wananchi wa kawaida wanalia sana kupoteza lile dume la mbegu sababu alisimama nao pamoja na unyonge wao. Aliwapa uhuru wa kweli mwenye biashara alifanya na hakusumbuliwa, aliwapelekea umeme, zahanati, maji na barabara nzuri alihakikisha kinachopatikana kinaenda kuwafaidisha watanzania walio wengi haswa maskini pangu pakavu na ndio maana watampenda daima.
Maofisini huko alipanyoosha at least mwananchi mnyonge alisikilizwa na mtumishi wa serikali tena bila connection wala kutoa rushwa tofauti na tawala zingine.
RIP Chuma aka Jiwe.
Shhhh!!Kwani usimfuate huko alikoelekea?
🙏🙏[emoji23] Ameshamaliza Mkuu
Lazima uwe member wa chama kimojawapo cha wafanyakazi.Vigezo vya hizo zawad pls
Nidhamu,uchapa kazi na utii tu...Vigezo vya hizo zawad pls
Ahaa
Safari hii mtajua kuwa hamjui
aunt numbisanakuonea huruma mno. Pole ungana na nyalandu basi
Watu bado wanajiuliza yule mwamba aliwezaje kuwalaghai mamilioni ya watu waliobobea kwenye umasikini uliotopea kuwanyima ajira vijana wao na kuwabomolea makazi yao kinyume na sheria tena with no remorse, ila wana wanampenda hivyo hivyo kweli yule alikua kipenz cha wanyongeJiwe ndio kiboko ya kila mpuuzi nchi hii.
Enzi hizo mwanaume akiongea kauli ni moja tu na mnaufyata.
Sasa hivi mnaleta unafki wa kupiga kelele mngeongea mbele ya kidume tuone kama mnayaweza.
Mafisadi na vibaraka walikimbia nchi.
Wafanyakazi wazembe na wezi waliichukia serikali maana waliishi kwa halali yao ya mshahara na posho wanayostahili.
Kile kidume ni noma ndio maana wabaya wake bado wanateswa na jinamizi lake wakilala jiwe wakiamka jiwe.
Wananchi wa kawaida wanalia sana kupoteza lile dume la mbegu sababu alisimama nao pamoja na unyonge wao. Aliwapa uhuru wa kweli mwenye biashara alifanya na hakusumbuliwa, aliwapelekea umeme, zahanati, maji na barabara nzuri alihakikisha kinachopatikana kinaenda kuwafaidisha watanzania walio wengi haswa maskini pangu pakavu na ndio maana watampenda daima.
Maofisini huko alipanyoosha at least mwananchi mnyonge alisikilizwa na mtumishi wa serikali tena bila connection wala kutoa rushwa tofauti na tawala zingine.
RIP Chuma aka Jiwe.
aunt numbisa
asante na kwako pia Aunt wangu😂😂😂😂dah happy may day