Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Kimeumana 😂👇
20210501_112537.jpg
20210501_112540.jpg
 
As times goes tutaona vizuri na kufanya comparison.
Sawa mkuu.

Pia kati Marais wote waliopita kasoro Jiwe, ni yupi aliyewahi kutembea ardhini kwa gari halafu juu akalindwa na Helkopita?

Sijui bi mkubwa naye atafikia hiyo hatua, ila tuendelee kunywa mtori kwanza.
 
aliekwambia kuwa mafisadi walikimbia nchi ni nani?
for the record wengine waliendelea kupiga na waliendelea kuwepo bungeni.
na aliwafaham. nn aliwafanya?

sisemi ni mbaya. kuna mazuri yake ambayo aliyasimamia.
ila kila serikal ina style yake ya uongozi.

Jiwe is gone. he is past now
His legacy will remain vibrant for ever
 
Kutoka jijini Mwanza tunawaletea taarifa za moja kwa moja, maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi duniani,ambayo kitaifa yanafanyika hapa.

Mgeni rasmi anatarajiwa kua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan, ambapo atapokea maandamano ya wafanyakazi mbalimbali Tanzania.View attachment 1769649

Hali ya hewa ni tulivu kabisa,uwanja umepambwa vyema,barabara za jiji zimesafishwa safi huku zikichagizwa na mabango yenye ujumbe wa hapa na pale.

Wananchi wameanza kumiminika viwanjani hapa.

Karibuni.....
============
Updates.
Tayari uwanjabwa ccm kirumba umeanza kufurika huku ukipendezeshwa na sare mbalimbali za tishirts na kofia za vyama vya wafanyakazi wa sekta binafsi,serikali kuu,mashirika ya umma,serikal za mitaa,na chama cha walimu,nyuso za wafanyakazi zinaonyesha tabasamu lililojaa matumaini tofauti na mei mosi za miaka 5 iliyopita.

Viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya wafanyakazi wameanza kuwasili uwanjani.
Namuona Makamu wa Rais,Dr.Mpango,Waziri Mkuu Majaliwa,Katibu Mkuu Kiongozi,Spika wa bunge na makamu wake.
View attachment 1769738
===========
Updates
Tayari msafara wa Rais Mama Samia umewasili uwanja wa CCM Kirumba tayari kwa shughuli za Mei Mosi kuanza rasmi,shangwe na nderemo zinashamiri uwanjani hapa wananchi wakimshangilia Rais wetu.View attachment 1769780
======
Maandamano yanaanza baada ya Rais Samia kuwasili jukwaani,takribani vyama 17 vya wafanyakazi vitashiriki maandamano haya.View attachment 1769848
=========
Updates


Sawa
 
mama anaongeaa saa ngapi ?
 
Wala hakuwa mmoja, to be fair! So you’re being very disingenuous.

Na nilisema kuwa mazingira ndo huwa yana dictate aina ya ulinzi ulio appropriate.

Lakini kama ilivyo kawaida ya walio wengi humu JF, walio na akili ya kuweza ku reason, ni wachache sana. Hata 10 hawafiki.

Hata leo si ajabu akaja akatokea mtu mwingine na kudai askari aliyekuwa na bunduki ni mmoja tu, ilhali picha inaonyesha dhahiri…
Hta Yule Jamaa Alietangazwa Kwamba na Lisu Kwamba Amefariki Kwa Corona Huko Kenya, Nimemuona Leo Hapa Mza Akiwa kwenye Msafara, Hata Huyo Jamaa Mweusi Mwembamba alokaa katikati ya Samia na Mpango nae pia Alikuwa kwenye Flontline Ya Mwendazake... Kizazi za Magu Bado Kinaishi.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Madame Samia Suluhu Hassan
Ameondoka Asubuhi Dodoma ~ Mwanza
Jioni Atakuwa Dodoma

Wote Macho [emoji849][emoji849][emoji849]Kwa Mama
Anajiandaa Kwenye Kenya akitoka Mza.
 
Asipoongeza mishahara mama ataongoza kwa shida, maana watumishi wanamanung'uniko mazito
 
Watu wanawaza samia akiongeza mshahara ndo atakuwa mtu mwema zaidi ya jpm?

Hivi nyie akili yenu ipo wapi? Mm wakati nikiwa mtumishi wa serikali nakumbuka nyongeza ilikuwa hela ndogo sana. Na maisha yana baki pale pale.
Hata uongezewe laki 2 kama hufanyi kazi kwa bidii ukawa na uwezo wa kufanya kazi za ziada siku zote mshahara hautoshi.

Sasa hivi mnachekelea kweli kweli, ati mkombozi kaja.maskini watumishi macho yapo kwa samia[emoji23][emoji23][emoji23]

So sad utaongezewa hako ka mshahara, ununue li tv lako mwizi apite nalo usiku.

Samia ujambazi umerudi kwa kasi ya juu watu hatuna amani tena. Hiyo hela ya nyongeza ya mishahara iwekwe kuendeleza miradi na ulinzi wa raia mali zao.
Nayo ni hoja, kumbe baada ya maajabu ya kufa 'JIWE' ulitaka pasiwepo mrithi? WAZA mbele mdogo wangu....
 
Back
Top Bottom