Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Imegusa maeneo mengi muhimu, hasa Loansboard asilimia 15 na retention fee ya kila mwaka...
 
Kwanini usimfuate huko alikoelekea?
 
Inaonekana Ngorongoro National Park ni taasisi nyeti sana hapa nchini?
 
msondo wamalize tupate mzuka wa kubanjukaa baadae
 
Watu bado wanajiuliza yule mwamba aliwezaje kuwalaghai mamilioni ya watu waliobobea kwenye umasikini uliotopea kuwanyima ajira vijana wao na kuwabomolea makazi yao kinyume na sheria tena with no remorse, ila wana wanampenda hivyo hivyo kweli yule alikua kipenz cha wanyonge
 
Kwa nini benki ya NMB ilipewa dhamana ya kupitishia mishara ya watumishi halafu bado Benki hiyo haiwakomboi wafanyakazi?
bado Riba kubwa, hakuna mikopo ya biashara wala mikopo ya kunua gari kama ilivyo kwa wabunge amabo wanakopeshwa zaidi ya milioni 80?!

kweli lengo ni kuwafanya watumishi wa chini waishi kimasikini
 
hapa ndo penyewe .... happy new month
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…