Meir Dagan na ujasusi wa Mossad dhidi ya Iran kumiliki silaha za nyuklia

Naoana masimulizi ya Mossad na ujasusi kwa ujumla yanashamiri sana JF

Well, kitabu cha Spies Against Armageddon kinapata wasomaji wapya kila siku.

Nilikisoma kwa mara ya kwanza 2014
 
Naam Mkuu, naamini umeyasoma mengi kuhusu hawa watu.
 
Wayahudi ni next level. Usalama wa kwetu wana deal na Chadema tu. Hapa ss tunaibiwa mpaka nchanga watu wamelala tu. Shame to them
 
Mkuu wamepitia mengi kufika hapo, wanasema kisichokuuwa kinakufanya uwe imara zaidi. Wametoka jasho, machozi na damu mpaka kufikia hapo. nditolo
 
wale mbona no vikaragosi vya marekani na ulaya magharibi tu!..hawana lolote,wanapewa Intel wao wana-execute tu
 
Ni kwa sababu wao ndio wametawala U.S na mataifa makubwa Ulaya. Chunguza kwa umakini utagundua hilo. Kwa hiyo ni wao wenyewe wanajisaidia.
 
muwe mnasoma na kudadisi mambo,story za kwenye vilinge vya pombe muache,taifa LA Israel limeanzishwa na uingereza na ufaransa ili kuidhibiti mashariki ya kati,hebu fikiria taifa hill lisingekuwepo mashariki ya kati ingekuwaje,Leo marekani anatoa billions of dollars kwa Israel kama atoavyo kwa Pakistani ili kucheza Afghanistan,Israel hamtawali MTU yoyote yule,huwezi kumtawala MTU anaekulisha na kukulinda
 
Sikiliza Mheshimiwa sana, kama huwezi kujadiliana kwa heshma basi mimi sitoweza.
 
Back
Top Bottom