Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Wakuu…

Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
IMG_4282.jpeg
 
kamanda wa makobaz huyu....mambo yake ndani ya kikosi sio mazuriii
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Kwa anaejua hv mwamba kama huyu analipwa sh ngapi, hv cheo kama huyu au mawaziri , governor, na vibopa wengne wanachezea range gani ya mshahara si itakua 20,000,000/= kwenda juu au sio wajuzi?
 
Back
Top Bottom