Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

Inaonekana alipikwa vema sana
IMG_4283.jpeg
 
Mpaka kafika hapo basi ametoka mbali sana na mazoezi anayo ila kwa sasa hawezi tena ni mtu mwenye cheo kikubwa sana hapo

Hata duniani ukingalia wenye vyeo sio maana wanakimbia na kufanya mazoezi magumu hapana.
Hapo uko kwenye raha tu
 
Labda alikuwaga, ila sasa hivi kwa uzee huo na mwili huo hawezi kazi ya ukomandoo..!! Ukomamdoo ni kuwa very fit physically, mentally and age plays major role..!! Sasa imagine mtu uwe na miaka 60 useme ni komandoo, haipo sawa
Amepitia mafunzo ngazi zoote navy commando.....kuwa kwenye utawala na umri....ndio sababu yuko hivyo ila yuko fit....tuheshimu taaluma za watu....jambo afande
 
Wanamtafuta ya rohoni Afande
Kisa majina yake wanahisi ni Dada kanisend
Weeeee huyooo amesota sanaaa hadi hapo uliza lazima ameingia jeshi kabla 1992.....ulizautarudi hapa....hadi Maj Gen sio kitoto sikia tuuu...huwa hawazidi 20 nchi nzima ....hao hadhi sawa na Majaji na PM na speakerwakistaafu hula 80% salary hadi kufaa pkus gari mafuta na ulinzi
 
Waziii
 
Na huo mtambi hapo atamkomandia nani😂😂😂
 
Back
Top Bottom