Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

kamanda wa makobaz huyu....mambo yake ndani ya kikosi sio mazuriii
 
Reactions: rr4
Kwa anaejua hv mwamba kama huyu analipwa sh ngapi, hv cheo kama huyu au mawaziri , governor, na vibopa wengne wanachezea range gani ya mshahara si itakua 20,000,000/= kwenda juu au sio wajuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…