Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
We nae kaushaPedesheee la twanga pepeta.
Kumbe nimeongea kwa sauti? 😂 Sio kosa bhanaWe nae kausha
Reduce volume.Kumbe nimeongea kwa sauti? 😂 Sio kosa bhana
We unapendekeza yafanye nini?Pongezi na kwaheri.
Kwa sasa Jenerali anaweza kuwa kafanya kazi jeshini miaka 35 na hajapigana vita ya Tanzania.
Ukiondoa missions za kimataifa na shughuli za kujenga taifa za jeshi kama ufundi na kilimo, na ulinzi wa mipaka, majeshi yetu yanafanya nini hasa?
Kwanza nimeuliza yanafanya nini, hujajibu swali langu unauliza swali lako?We unapendekeza yafanye nini?
Kulinda mipaka ya nchi vipi ulikua na mapendekezo gani?Kwanza nimeuliza yanafanya nini, hujajibu swali langu unauliza swali lako?
Sasa mbona tunawaona sehemu nyingi mbali na mipaka?Kulinda mipaka ya nchi vipi ulikua na mapendekezo gani?
Marekani ndio wanafanya hivyo mkuu?Sasa mbona tunawaona sehemu nyingi mbali na mipaka?
Wajikite zaidi kwenye shughuli za kiuchumi, watumike kujenga zaidi, watumike kwenye engineering projects zaidi.
Sasa hivi ukiondoa hizo habari nikizozitaja hapo juu, ambazo haziwezi kuchujua vikosi vingi sana, sielewi wanajeshi wanafanya kazi gani.
Hawawezi kuwa wanafanya mazoezi ya vita siku zote.
Wafanye tafiti za kisayansi ambazo zinasaidia kwenye Ugunduzi Mpya na Uundaji wa Silaha zetu wenyewe hapa hapa Tanzania.We unapendekeza yafanye nini?