Meja Jenerali Charles Mbuge astaafu utumishi wake jeshini

Meja Jenerali Charles Mbuge astaafu utumishi wake jeshini

Subiri wnaume tujadili, tukimaliza, utapewa nafasi!
Kwa exposure ya Kiranga na everything ni fedheha Sana Kwako lubengera kujitutumua kubishana na mtu anae kuzidi kila kitu.

Unacho mzidi kiranga ni UJINGA pekee ulio / unao uonyesha kwenye comment zako.

Nakushaur TU kwa Nia njema.

Usijisumbue kunijibu maana nimesha kupa demotion.

Wasalaam.
 
Kwa exposure ya Kiranga na everything ni fedheha Sana Kwako lubengera kujitutumua kubishana na mtu anae kuzidi kila kitu.

Unacho mzidi kiranga ni UJINGA pekee ulio / unao uonyesha kwenye comment zako.

Nakushaur TU kwa Nia njema.

Usijisumbue kunijibu maana nimesha kupa demotion.

Wasalaam.
Katika watu ambao hautakiwi kubishana nao mmoja wapo ni Kiranga ,jamaa anajua mpaka anajua tena ,ni kutulia na kupata madini yake na experience kutoka kwake.
 
Apumzike kwa amani. Marehemu asemwi kw ubaya ila Mejor Gen. Charles Mang’era Mbuge atakumbukwa na wengi hasa vijana wa JKT (OPs Magufuli na Mererani) walioshiriki katika oparesheni za ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo la machimbo ya mererani, ujenzi wa mji mpya wa serikali, ujenzi wa jengo la NEC Dodoma, Hospitali ya Uhuru Chamwino, ujenzi wa MMJKT, ujenzi wa ukuta kuzunguka Ikulu Chamwino, uwanja wa paredi ndani ya Ikulu na jengo la Ikulu (ofisi).

Aliamini katika utekelezaji wa majukumu kwanza, huku usalama wa vijana na askari baadae, jambo lililopelekea vijana wa JKT (oparesheni magufuli na mererani), walioshiriki ktk opareshin tajwa hapo juu kutokumkubali na kupelekea vijana wa JKT 854 kugoma huku wakishinikiza kufaham/kujua hatima yao ya ajila baada ya kujitolea zaidi ya miaka mitatu huku mambo yakiwa ayaeleweki.

Moja ya kauli zake tata ni “ukiona umechoka, na huwezi kuendelea na majukumu ya kioparesheni ondoka.

Na neno lake la faraja kwa vijana lilikuwa “Mh. JPM anaorodha ya majina yenu nyote. Mkimaliza hili jukumu mnaenda kwenye ajira zenu, vijana waliambulia kupewa majukumu mfululizo/bandika bandua bila mapumziko.
 
R.I.P tunashukuru kwa utumishi wako,na hata aliyekuteua aliteua mtu sahihi,you were very creative.
Kwa kipindi nilichokufahamu hakika ulikuwa mchapakazi sana tena hukuishia kutoa maagizo tu bali ulienda mwenyewe field.
JKT uliibadilisha kutoka kuwa ya kuroll kwenye mifereji ya maji machafu na ya kutumia nguvu mpaka kuwa productive na kutumia akili kitu ambacho kilikuwa na tija kwa taifa.
Pole kwa familia na watanzania kwa ujumla.
 
Sasa mbona tunawaona sehemu nyingi mbali na mipaka?

Wajikite zaidi kwenye shughuli za kiuchumi, watumike kujenga zaidi, watumike kwenye engineering projects zaidi.

Sasa hivi ukiondoa hizo habari nikizozitaja hapo juu, ambazo haziwezi kuchujua vikosi vingi sana, sielewi wanajeshi wanafanya kazi gani.

Hawawezi kuwa wanafanya mazoezi ya vita siku zote.
Kwa hili naungana na wewe 💯
Nakumbuka Magereza walikuwa wanazalisha vitu vingi na hata walikuwa na viwanda vya ngozi kwa kutengeneza vitu na kuuza
Leo teknolojia imefika mbali ila hakuna anaeshtuka
Tumeshuhudia watu wamekufa kwa pagers tu
Majeshi yana maeneo makubwa sana nchini ila tunaona miti tu
 
Very true. Na hata ukibishana nae tumia lugha nzurii utajifunza mengi Sana kutoka kwake.
Acha ujinga, Jamaa sio kila kitu anafahamu!
Ndio maana mapema nilimwambia hana uelewa na masuala ya Jeshi!!

Mtu anaye kosoa kuwa mwanajeshi mpaka anastaafu 35 yrs hajawahi kupigana,

Ni wazi huyu uelewa wake ni mdogo katika masuala ya Jeshi, Logicaly kwa statement yake ni kuwa Kukosekana kwa vita maana yake wanajeshi hawana kazi

Then unakuja kusifia ujinga, kuniambia eti kutumia lugha nzuri, wakati aliye anza kutumia lugha ya hovyo ni yeye.?
 
Wewe unayetetea jeshi usilolielewa ndiye una matatizo ya akili.

Na watu kama wewe ndio mnasababisha Tanzania izidi kuwa masikini.
Wewe hapa umetoka kuandika jeshi lizuie wahamiaji na wala rushwa.
Mtu anayejua majukumu ya JWTZ hawezi andika vituko kama vile. Hujui jeshi wala hujui katiba.
Wewe ni mjinga unatetea hela ya kodi ya wananchi itumike bila uwazi.

Watu kama wewe ndio mnafanya Tanzania izidi kuwa masikini.

Mimi sifikiri kwamba ninaweza kujadiliana na mtu mjinga kama wewe.

Kwahiyo umehama hutaki tena jeshi lisiwe na majenerali. Mimi sio mjinga, rudi pale nilipoku-quote kuanzia mara ya kwanza umeandika nini nami nimeandika nini.

Umedai jeshi lina majenerali wengi, ambavyo si kweli. Hoja zangu zimekomea hapo na umeshindwa ukakimbilia kwenye jeshi kuzuia wahamiaji na wala rushwa ambazo sio kazi za JWTZ.

Sasa unatoka uko unahamisha mada unadai natetea hela ya kodi ya wananchi kutumika vibaya. Hakuna ambapo nimetaja kodi.
Hoja yetu ya msingi ni ileile idadi ya majenerali ambao wengine wao unadai wana matumbo kama wajawazito na wengine "umeambiwa" walihonga.

Jifunze katiba na ujifunze majukumu ya JWTZ na ujifunze structure na umuhimu wa ranks siku nyingine usijependekeza Army iongozwe na Sajenti.
 
Wafanye tafiti za kisayansi ambazo zinasaidia kwenye Ugunduzi Mpya na Uundaji wa Silaha zetu wenyewe hapa hapa Tanzania.
Waanzishe Viwanda Vipya vya Kutengeneza na Kuunda Silha za Kisasa kwa ajili ya shughuli za Ulinzi na Usalama, sambamba za Silaha na Mifumo ya Kupigania Vita.
Mathalani, wangeanzisha Kiwanda Cha Kutengeneza Ndege zisizo na Rubani (Drones).
Wewe binafsi umegundua nini hadi leo katika umri ulionao?
 
Uko vizuri kwenye spinning na kuhamisha magoli.
Wewe ndiye ume spin.

Hoja muhimu ya military spending na transparency hujaiongelea, una project kwangu spinning yako.

Pengine bila hata kuelewa dhana za military spending na transparency.

Inaonekana si tu hatuelewani, hatuwezi kuelewana.
 
Wewe ndiye ume spin.

Hoja muhimu ya military spending na transparency hujaiongelea, una project kwangu spinning yako.

Pengine bila hata kuelewa dhana za military spending na transparency.

Inaonekana si tu hatuelewani, hatuwezi kuelewana.
😅😅
 
Tatizo unatetea jeshi la nchi ambayo hata military spending yake hujui.

Halafu unaleta strawman fallacy na logical non sequitur fallacy kama mimi nimesema Mbuge hakutakiwa kuwa General wakati mimi nimeongelea suala la nchi kuwa na wanajeshi wengi wasio na kazi yoyote inayoonekana.

Unalinganisha China na Tanzania, una uchuni sawa na Wachina?

Umeambiwa huyo Mbuge mwenyewe mwizi tu kahonga pesa mwanawe ashinde uchaguzi UVCCM akapigwa chini.

Hawa wanajeshi wezi wezi wanaolinda CCM na kuiba iba ndio mnawasifia sana kuwa wanalinda nchi hawa?

Hapo JKT kulikuwa na Jenerali mmoja anaitwa Karubi alikuwa na tumbo kubwa kuliko mwanamke mjamzito, ukimuangalia aibu unaona mwenyewe.

Mwingine Makame Rashid kutwa anashinda na malaya Wambulu wasio na maana, ashukuru tu Tanzania hakuna uhasama wa kuuana.

Hawa ndio mnawasifia wanalinda nchi hawa?
Wapumbuwazi hawawezi kukuelewa labda welevu wachache walioko humu
 
Wewe hujui kusoma kwa ufahamu.

Wapi nimesema jeshi lizuie wahamiaji na wala rushwa?

Nakuonesha hilo jeshi lenu mnalolisifu nyanya tu, mkuu wa majeshi ndiyo katoa kauli ya kwamba kuna wageni wengi wako sehemu nyeti serikalini, publicly, kinyume cha itifaki zote za jeshi.

Maana yake kuanzia mkuu wa majeshi wa jeshi lenu mnalolisifia anajiharishia.

Na nyie mnakunywa uharo huo bila hata kuuchuja kwa kulisifia hili jeshi la hawa viongozi wezi na wajinga.
 

Attachments

  • FB_IMG_1705984051949.jpg
    FB_IMG_1705984051949.jpg
    52.3 KB · Views: 4
Back
Top Bottom