T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
China nayo actual military spending haijulikani na ni nchi kubwa tu kijeshi. Ni maamuzi ya sera ya nchiTatizo unatetea jeshi la nchi ambayo hata military spending yake hujui.
Hoja yako ilianza kwa kuwa na majenerali wengi, usihamishe kwa kuwa na wanajeshi wengi. Na hata hivyo wanajeshi wa Tanzania sio wengi.Halafu unaleta strawman fallacy na logical non sequitur fallacy kama mimi nimesema Mbuge hakutakiwa kuwa General wakati mimi nimeongelea suala la nchi kuwa na wanajeshi wengi wasio na kazi yoyote inayoonekana.
Basi linganisha Tanzania na Rwanda ambapo Tanzania inaizidi Rwanda kiuchumi. Rwanda ina 4 star Generals wanne na Tanzania inaye mmoja.Unalinganisha China na Tanzania, una uchuni sawa na Wachina?
"Umeambiwa". Maneno ya kuambiwa yenyewe umeyasoma ndani ya nusu saa hii nimekuona uzi ule. Ghafla umeishathibitisha na kumhukumu Mbuge ni mwizi?Umeambiwa huyo Mbuge mwenyewe mwizi tu kahonga pesa mwanawe ashinde uchaguzi UVCCM akapigwa chini.
Okay tuseme Mbuge ni mwizi, hutaki kamandi 6 za JWTZ ziongozwe na majenerali ziongozwe na rank gani. Lieutenant? Nimekuomba utaje hata hizo nchi maskini ambazo military wings haziongozwi na rank kubwa.
Nchi imevamiwa au haijavamiwa? Nchi mipaka yake iko salama au haiko salama?Hawa wanajeshi wezi wezi wanaolinda CCM na kuiba iba ndio mnawasifia sana kuwa wanalinda nchi hawa?
Kazi ya kuzuia wizi na rushwa wa chama chochote kile au serikali sio ya jeshi. Nilikuwa na wasiwasi hujui jeshi la Tanzania, kumbe sio jeshi tu hata katiba ya Tanzania huijui.
Hermann Göring alikuwa fighter ace wa WW1 na akawa Chief of Luftwaffe jeshi la anga la Nazi Germany kwenye WW2. Alikuwa na tumbo kubwa ila ndio mkuu wa Airforce kubwa zaidi duniani kwa wakati wakeHapo JKT kulikuwa na Generali mmoja anaitwa Karubi alikuwa na tumbo kubwa kuliko mwanamke mjamzito, ukimuangalia aibu unaona mwenyewe.
Aaah sasa visa vya Makame na huyo kibonge ndio hutaki kabisa jeshi liwe na majenerali. Kwahiyo Makanali ndio waongoze kamandi, sasa hapo unaisema JWTZ au jeshi la wokofu.Mwingine Makame Rashid kutwa anashinda na malaya Wambulu wasio na maana, ashukuru tu Tanzania hakuna uhasama wa kuuana.
Hawa ndio mnawasifia wanalinda nchi hawa?
Mimi nimechoka uwe na wakati mwema mkuu.