TZ hii au?Wafanye tafiti za kisayansi ambazo zinasaidia kwenye Ugunduzi Mpya na Uundaji wa Silaha zetu wenyewe hapa hapa Tanzania.
Waanzishe Viwanda Vipya vya Kutengeneza na Kuunda Silha za Kisasa kwa ajili ya shughuli za Ulinzi na Usalama, sambamba za Silaha na Mifumo ya Kupigania Vita.
Mathalani, wangeanzisha Kiwanda Cha Kutengeneza Ndege zisizo na Rubani (Drones).
Ndiyo, kwani hao walioweza Wana nini na sisi tushindwe tuna Nini????TZ hii au?
Kwanza kwa nini unajilinganisha na Marekani?Marekani ndio wanafanya hivyo mkuu?
Tatizo lako vitu vidogo unavikuza umeelewa nilichokuuliza mkuu?Kwanza kwa nini unajilinganisha na Marekani?
Unajua bajeti ya ulinzi ya Marekani ni kiasi gani?
2.09 trillion US dollars.
$2,090,000,000,000.
Unajua pato la taifa la Tanzania, nchi nzima, si bajeti ya ulinzi, ni kiasi gani?
75.73 billion US dillars (2022)
$75,730,000,000.
Bajeti ya ulinzi ya Marekani ni sawa na pato zima la taifa la Tanzania mara 27.6
Unalinganishaje hapo?
Tausi akiendeshwa umeme ukiruka bonde la mto msimnazi chai hainogi bila chapati na mihogo ya mbagalaMeja Jenerali Charles Mbuge amestaafu na kuagwa jeshini baada ya kulitumikia jeshi kwa miaka 38.
Enzi ya utumishi wake jeshini, aliwahi kuwa Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa na baadae kushika majukumu mbalimbali ya kijeshi.
Anakumbukwa jinsi alivyokuwa kipenzi cha Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli.
Ni katika awamu ya tano, ambapo Meja Jenerali Mbuge aliibuka baada ya kazi nzuri ya ujenzi wa ukuta wa Mirerena na kupanda vyeo mfululizo hali iliyoibua minong’ono kwa wengi kuwa alikuwa anaandaliwa kuwa Mkuu mpya wa Majeshi.
Tunakutakia maisha mema ya kustaafu, utumishi wako jeshini umetukuka!View attachment 3063607
Soma pia: Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?
Sasa safari za kwenda Kibaha kupiga Kreti zima na Kuzima kabisa hazitakuwepo tena.Mapumziko mema kwake
Tatizo lako hupendi facts.Tatizo lako vitu vidogo unavikuza umeelewa nilichokuuliza mkuu?
Mkoa wa Mara ( Musoma ) kamwe haujawahi kutoa Watu wa hovyo hovyo iwe ni kwa JWTZ na kule TISS Kudadadeki!!!Meja Jenerali Charles Mbuge amestaafu na kuagwa jeshini baada ya kulitumikia jeshi kwa miaka 38.
Enzi ya utumishi wake jeshini, aliwahi kuwa Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa na baadae kushika majukumu mbalimbali ya kijeshi.
Anakumbukwa jinsi alivyokuwa kipenzi cha Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli.
Ni katika awamu ya tano, ambapo Meja Jenerali Mbuge aliibuka baada ya kazi nzuri ya ujenzi wa ukuta wa Mirerena na kupanda vyeo mfululizo hali iliyoibua minong’ono kwa wengi kuwa alikuwa anaandaliwa kuwa Mkuu mpya wa Majeshi.
Tunakutakia maisha mema ya kustaafu, utumishi wako jeshini umetukuka!View attachment 3063607
Soma pia: Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?
Huo msemo au swali uwa liko very common when we try to console ourselves but in a corrupt and disorganized society like ours the answer is very clear. Kwamba kuna vitu wao wanavyo na sisi hatuna kabisa. Mojawapo ni lack of focus.Ndiyo, kwani hao walioweza Wana nini na sisi tushindwe tuna Nini????
Ukiwa nje ya mfumo vitu kama hivyo lazima uvikumbukeSasa safari za kwenda Kibaha kupiga Kreti zima na Kuzima kabisa hazitakuwepo tena.
😂Pedesheee la twanga pepeta.
Kwani hapo umeona nimepanisha au nimekuuliza hayo mambo ndio umeona marekani? Mkuu hilo swali nililokuuliza liangalie vizuriTatizo lako hupendi facts.
Umeelewa nilichokujibu mkuu?
Kanuni ya kwanza ya kulinganisha vitu ni kulinganisha vitu vinavyofanana, ndiyo maana hata kwenye michezo kuna ligi tofauti, kuna ngumi kwa uzito tofauti.
Sasa wewe unataka kupambanisha bondia wa heavyweight na wa featherweight?
Huyo boya ni limbukeni mnoTatizo lako vitu vidogo unavikuza umeelewa nilichokuuliza mkuu?
Kila la heri general, karibu tena lindiMeja Jenerali Charles Mbuge amestaafu na kuagwa jeshini baada ya kulitumikia jeshi kwa miaka 38.
Enzi ya utumishi wake jeshini, aliwahi kuwa Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa na baadae kushika majukumu mbalimbali ya kijeshi.
Anakumbukwa jinsi alivyokuwa kipenzi cha Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli.
Ni katika awamu ya tano, ambapo Meja Jenerali Mbuge aliibuka baada ya kazi nzuri ya ujenzi wa ukuta wa Mirerena na kupanda vyeo mfululizo hali iliyoibua minong’ono kwa wengi kuwa alikuwa anaandaliwa kuwa Mkuu mpya wa Majeshi.
Tunakutakia maisha mema ya kustaafu, utumishi wako jeshini umetukuka!View attachment 3063607
Soma pia: Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?
Umeniuliza hivi.Kwani hapo umeona nimepanisha au nimekuuliza hayo mambo ndio umeona marekani? Mkuu hilo swali nililokuuliza liangalie vizuri
Kula tu shule mpaka michango, na tunasifika tuna ardhi ya kuyosha ya kilimoNdiyo, kwani hao walioweza Wana nini na sisi tushindwe tuna Nini????
Hawana ishu wanafuga vitambi na kula miseleSasa mbona tunawaona sehemu nyingi mbali na mipaka?
Wajikite zaidi kwenye shughuli za kiuchumi, watumike kujenga zaidi, watumike kwenye engineering projects zaidi.
Sasa hivi ukiondoa hizo habari nikizozitaja hapo juu, ambazo haziwezi kuchujua vikosi vingi sana, sielewi wanajeshi wanafanya kazi gani.
Hawawezi kuwa wanafanya mazoezi ya vita siku zote.