Meli iliyotengenezwa Kenya kuanza kutumika

Meli iliyotengenezwa Kenya kuanza kutumika

Tatizo ni kujisifia bure, hakuna mwenye uwezo wa kutengeneza meli/gari bongo/kenya au afrika kwa ujumla, sisi tunaweza tengeneza board tu ya meli au gari then tunapachika vitu vilivyotoka kwa mzungu!

Hizi kazi zinafanywa sana majeshini, ila stil tunatumia injini za mzungu, so bado tuko nyuma sana! Hata ukiangalia hizo body weight yake ni kubwa sana hatuna material nzuri wala moulding mashine za ukweli kutuvusha kwenye hiyo area! tuache kujisifu tuzikosoe serikali zetu zifanye investment hizi
 
Wakenya mna vituko sijawahi ona, sifa zimewajaa, hebu angalieni huu mtambo uliopo jijini Dar
mv magogoni-dar es salaam city.JPG
 
Unatuambia kiingereza kinatukanganya alafu kichwa cha habari yako kinasema meli na maelezo yako ya kiingereza yanasema boat sasa nani hajui kiingereza hapo.we jamaa dharau zinakuaibisha hata upumbavu wako
 
Wakenya mna vituko sijawahi ona, sifa zimewajaa, hebu angalieni huu mtambo uliopo jijini Dar
View attachment 436136
Sasa hivi mlisoma kichwa cha uzi huu kweli??? Huu uzi hauja sema meli ambazo kenya inazo. Uzi unasema -the first ever fishing boat.... fishing vessel yaani. lakini nyinyi sasa ona. Hebu tuonyeshe fishing boats ambazo Tz mmeunda!!
 
Hiyo sio kwamba tunaimiliki tu bali imeundwa na WATANZANIA hapahapa nchini.
Alafu hata usijiaibishe fishing boats kwa ziwa Victoria pekee zipo fishing boats zaidi ya elfu 50 ambazo zote zimetengenezwa na indigenous wa maeneo hayo sababu ni kitu cha kawaida haswa.

Sijaongelea fishing boats za Lake Tanganyika Lake Nyasa na other lakes and rivers wala babalao Indian Ocean
 
Professional companies za kutengeneza meli ziko kenya, someni habari ndo muelewe (hao ni juakali wa kawaida)....Ikija mambo ya utengezaji wa meli hakuna nchi inayo shinda Kenya hapa EA, tuko na the bussiest ship building dockyard between J,bourg and dgibouti

Kenya ime export ferry nne Uganda, kuna zengine pia ime export Tanzania, meli nyingi zinazo milikiwa Tanzania huja kurekebishiwa kenya kama ziko na shida kubwa, lakini hautawai sikia meli zinazo milikiwa na wakenya zikienda dar autz kurekebishwa

Hii catama-1 inatengezewa Mombasa kutumika ziwa Rukwa Tanzania
CATAMA-1-490x350.jpg

Meli zilizo tengezewa Kenya (hamuezi mkalinganisha na hivyo vijipicha vyenu mnavyo tuonyesha, kwahivyo yamazeni bana...... Sisi tukionyesha kiboti kilichoundwa na wajasirimali wa kawaida juakali mnyamaze na msilete ushamba mwingi, kama ni meli ndo mnataka ntunaweza tukawabomeza mapicha hapa alafuu bado mtaanza kudai tunapenda misifa

images.jpg
MUSSA-4-490x350.jpg
Alpha-Jimbo-w-370x400.jpg
 
Professional companies za kutengeneza meli ziko kenya, someni habari ndo muelewe (hao ni juakali wa kawaida)....Ikija mambo ya utengezaji wa meli hakuna nchi inayo shinda Kenya hapa EA, tuko na the bussiest ship building dockyard between J,bourg and dgibouti

Kenya ime export ferry nne Uganda, kuna zengine pia ime export Tanzania, meli nyingi zinazo milikiwa Tanzania huja kurekebishiwa kenya kama ziko na shida kubwa, lakini hautawai sikia meli zinazo milikiwa na wakenya zikienda dar autz kurekebishwa

Hii catama-1 inatengezewa Mombasa kutumika ziwa Rukwa Tanzania
View attachment 436465

Meli zilizo tengezewa Kenya (hamuezi mkalinganisha na hivyo vijipicha vyenu mnavyo tuonyesha, kwahivyo yamazeni bana...... Sisi tukionyesha kiboti kilichoundwa na wajasirimali wa kawaida juakali mnyamaze na msilete ushamba mwingi, kama ni meli ndo mnataka ntunaweza tukawabomeza mapicha hapa alafuu bado mtaanza kudai tunapenda misifa

View attachment 436466 View attachment 436467 View attachment 436468
Kasema nani kwamba Kenya hamjawahi kutengeneza meli kubwa?
Issue ni kwamba hii post haikua na mashiko kuianzisha maana hiyo mitumbi mikubwa mnayoita meli jua kali(mafundi wa kawaida) wa huku kwetu wanatengeneza kila siku ya Mungu sasa nyie kuunda hiyo moja mnakuja mbio mbio kupost?
 
Wabongo bana, yaani huwa mnakimbilia kujibu nyuzi bila kusoma na ndio maana huwa mnaanguka mitihani na kujazana division zero watupu.
 
Wabongo bana, yaani huwa mnakimbilia kujibu nyuzi bila kusoma na ndio maana huwa mnaanguka mitihani na kujazana division zero watupu.
Ukiambiwa ukweli unakimbilia kwingine MK254
Sasa huko kwenu hakuna div zero?
Bora Tanzania kuliko huko kwenu ambako mpaka leo eti mnasumbuliwa na ukabila serious?
Mnamchagua rais kwa kuangalia kabila lake serious?
Bora Tanzania mara milioni kumi
 
Ukweli upi, mimi nimeleta taarifa za mafundi wa jua kali Kenya ambao wamefaulu kujenga meli kuvua samaki yenye engine ya 235 horse power na sifa zingine, nimeiweka taarifa kwenye kitengo cha JF Kenyan news. Nyie mumekimbilia kujibu kwa kuleta picha za ferry, sasa huo ni ukweli unaohusu vipi mada husika.

Kama ni ushindani wa ufundi wa meli baina ya Kenya na Tanzania, inafahamika vizuri hamuwezi hata kutukaribia.
 
Hii ni ngalawa kitu kama kile chetu cha Nyasa mbona mtaita Titanic sasa...manake kile kitu heshima
 
Usahihisho kwa wale mnaobeza, itakua kingereza kinawakanganya. Hii ni meli ya wavuvi ya kwanza kutengenezwa na mafundi wa jua kali Mombasa, ila sio meli ya kwanza kutegenezwa Kenya.

==========

Mombasa's first locally made fishing boat sails out
By Philip Mwakio | Wednesday, Nov 16th 2016 at 21:44
vwlqqzkvuder7vg8582ca8d09d3b3.jpg

Mv Mombasa 001 vessel.The ten tonnes vessel which is the first ever Kenyan fishing made its maiden trial sail from the Mombasa County Fisheries boat yard to the high seas of the Indian Ocean waters on Tuesday,015th November 2016.

It was built by Local Kenya's Artisans and funded by the Mombasa County Government to en power and improve the daily catch of Mombasa Fishermen who have been using dug out canoes to fish in deep seas. The vessel is fitted with a 235 horse power engine, sleeping area, cooking area , fish storage and has a fresh water tank.PHOTO BY MAARUFU MOHAMED/STANDARD.

The first ever locally assembled fishing vessel will be inaugurated on Thursday next week.

Built specifically for Mombasa fishermen through a joint venture between the county government and the Kenya Commercial Bank (KCB), MV Mombasa 001 sailed out for sea trials yesterday and cruised 20 nautical miles (35 kilometres) from the Port of Mombasa.

Mombasa's first locally made fishing boat sails out
They should build bigger ones next time..I would like to take a cruise from Mombasa to Madagascar....
 
Nimecheka kweli watz akili finyu ajabu!....muktadha hawauelewi hawa ikija mtihani ...sufuri!

Key words ni!......meli ya uvuvi uliotengenezwa na "jua kali"...ulio na horse power kubwa kama hiyo 253 na kadhalika.
 
Tim Choice, ule ni mtumbwi (boat) wa uvuvi (though nina mashaka nao) na si meli (ship)! Hamjafika kujenga vivuko (ferries) au hata meli! Peleka upumbavu..
 
Tim Choice, ule ni mtumbwi (boat) wa uvuvi (though nina mashaka nao) na si meli (ship)! Hamjafika kujenga vivuko (ferries) au hata meli! Peleka upumbavu..
Wewe pimbi husininukuu kwa ushenzi wako!
Imesemwa hapo ni "boat"..tena la uvuvi!
Halafu sisi twatengeza ferry na meli tangu jadi mpaka tunaziuza nje(export)..point in case ni Uganda.
Halafu juzi tu hivyo vijitakataka vyenu vimeletwa Mombasa kurekebishwa kwa maana hamna huo ufundi!...hata uzi uliletwa humu, wakati mwingine unafikiri unashindana huku unapelekea wengi wetu walio wadogo kwa umr kwako kukudharau sana!

Kalb wahed!
 
Back
Top Bottom