Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Hiyo ni life boat, mtoa post alikosea.Teh teh teh! Eti mtumbwi mkubwa..[emoji2] [emoji2] dah nmecheka mpaka basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni life boat, mtoa post alikosea.Teh teh teh! Eti mtumbwi mkubwa..[emoji2] [emoji2] dah nmecheka mpaka basi
Sasa hivi mlisoma kichwa cha uzi huu kweli??? Huu uzi hauja sema meli ambazo kenya inazo. Uzi unasema -the first ever fishing boat.... fishing vessel yaani. lakini nyinyi sasa ona. Hebu tuonyeshe fishing boats ambazo Tz mmeunda!!Wakenya mna vituko sijawahi ona, sifa zimewajaa, hebu angalieni huu mtambo uliopo jijini Dar
View attachment 436136
Hiyo sio kwamba tunaimiliki tu bali imeundwa na WATANZANIA hapahapa nchini.Sasa hivi mlisoma kichwa cha uzi huu kweli??? Huu uzi hauja sema meli ambazo kenya inazo. Uzi unasema -the first ever fishing boat.... fishing vessel yaani. lakini nyinyi sasa ona. Hebu tuonyeshe fishing boats ambazo Tz mmeunda!!
Sio kwa ushuzi huo alioletaWamejitahidi tuwakubali na kuwapongeza
Watz hatuna unafiki huoSio kwa ushuzi huo alioleta
Kasema nani kwamba Kenya hamjawahi kutengeneza meli kubwa?Professional companies za kutengeneza meli ziko kenya, someni habari ndo muelewe (hao ni juakali wa kawaida)....Ikija mambo ya utengezaji wa meli hakuna nchi inayo shinda Kenya hapa EA, tuko na the bussiest ship building dockyard between J,bourg and dgibouti
Kenya ime export ferry nne Uganda, kuna zengine pia ime export Tanzania, meli nyingi zinazo milikiwa Tanzania huja kurekebishiwa kenya kama ziko na shida kubwa, lakini hautawai sikia meli zinazo milikiwa na wakenya zikienda dar autz kurekebishwa
Hii catama-1 inatengezewa Mombasa kutumika ziwa Rukwa Tanzania
View attachment 436465
Meli zilizo tengezewa Kenya (hamuezi mkalinganisha na hivyo vijipicha vyenu mnavyo tuonyesha, kwahivyo yamazeni bana...... Sisi tukionyesha kiboti kilichoundwa na wajasirimali wa kawaida juakali mnyamaze na msilete ushamba mwingi, kama ni meli ndo mnataka ntunaweza tukawabomeza mapicha hapa alafuu bado mtaanza kudai tunapenda misifa
View attachment 436466 View attachment 436467 View attachment 436468
Ukiambiwa ukweli unakimbilia kwingine MK254Wabongo bana, yaani huwa mnakimbilia kujibu nyuzi bila kusoma na ndio maana huwa mnaanguka mitihani na kujazana division zero watupu.
Ukiambiwa ukweli unakimbilia kwingine MK254
Sasa huko kwenu hakuna div zero?
Bora Tanzania kuliko huko kwenu ambako mpaka leo eti mnasumbuliwa na ukabila serious?
Mnamchagua rais kwa kuangalia kabila lake serious?
Bora Tanzania mara milioni kumi
They should build bigger ones next time..I would like to take a cruise from Mombasa to Madagascar....Usahihisho kwa wale mnaobeza, itakua kingereza kinawakanganya. Hii ni meli ya wavuvi ya kwanza kutengenezwa na mafundi wa jua kali Mombasa, ila sio meli ya kwanza kutegenezwa Kenya.
==========
Mombasa's first locally made fishing boat sails out
By Philip Mwakio | Wednesday, Nov 16th 2016 at 21:44
![]()
Mv Mombasa 001 vessel.The ten tonnes vessel which is the first ever Kenyan fishing made its maiden trial sail from the Mombasa County Fisheries boat yard to the high seas of the Indian Ocean waters on Tuesday,015th November 2016.
It was built by Local Kenya's Artisans and funded by the Mombasa County Government to en power and improve the daily catch of Mombasa Fishermen who have been using dug out canoes to fish in deep seas. The vessel is fitted with a 235 horse power engine, sleeping area, cooking area , fish storage and has a fresh water tank.PHOTO BY MAARUFU MOHAMED/STANDARD.
The first ever locally assembled fishing vessel will be inaugurated on Thursday next week.
Built specifically for Mombasa fishermen through a joint venture between the county government and the Kenya Commercial Bank (KCB), MV Mombasa 001 sailed out for sea trials yesterday and cruised 20 nautical miles (35 kilometres) from the Port of Mombasa.
Mombasa's first locally made fishing boat sails out
Wewe pimbi husininukuu kwa ushenzi wako!Tim Choice, ule ni mtumbwi (boat) wa uvuvi (though nina mashaka nao) na si meli (ship)! Hamjafika kujenga vivuko (ferries) au hata meli! Peleka upumbavu..