Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini?
Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya yanayoimbwa kila siku?. Nimeambatisha mahala meli imefika kwa rejea
Cha kushangaza, nimeambiwa kuwa kuanzia tarehe 31/01/2025, storage inaanza kusoma!