Ndugu, hii ni zaidi ya changamoto. TRA hawajui kuwa kumcheleweshea mteja/mlipa kodi hata wiki moja tu ni loss kubwa sana sana. Hadi leo hii hatujui huo mfumo mpya utatengamaa lini?. Na kwa nini waanzishe mfumo ambao haujafanyiwa trial kuona kama unafaa au lahNipo transport huu ni mwaka wa sita hivi ila miaka inavyoenda ndio hali inaendelea kuwa ovyo , TRA yaani daaah
Mkono mtupu haulambwi.Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini?
Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya yanayoimbwa kila siku?. Nimeambatisha mahala meli imefika kwa rejea
Cha kushangaza, nimeambiwa kuwa kuanzia tarehe 31/01/2025, storage inaanza kusoma!
View attachment 3215720
Nifanye nini Afisa?Mkono mtupu haulambwi.
Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini?