Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu

Stori tu izo[emoji3][emoji3]eti imepewa uwezo wa kuingiza meli yoyote
Anavyosema imepewa uwezo wa kuingiza meli kubwa anamaana ya kuwa Meli kubwa inaingia na inaishia baharini kwenye mkondo wa maji makubwa,kisha inakuja meli yetu ndogo inapakua mzigo kisha unaenda kushusha bandarini,ndivyo uelewa wangu huo
 
Kupita inaweza jaribu, pale si waliongeza na kina japo yaweza ikawa mastori
Haita weza pale huwa tuna pasafisha baada ya kila kipindi flani, unakumbuka MSC ilishawahi kukwama? na ilikuwa ndogo?
kumbuka hiyo EVERGREEN in 400 mt za length kwahiyo sio meli ndogo hapo height yake sionya kitoto ndugu.
 
Anavyosema imepewa uwezo wa kuingiza meli kubwa anamaana ya kuwa Meli kubwa inaingia na inaishia baharini kwenye mkondo wa maji makubwa,kisha inakuja meli yetu ndogo inapakua mzigo kisha unaenda kushusha bandarini,ndivyo uelewa wangu huo
Hapa nimekuelewa maana kuna meli kubwa sana za mafuta huwa zinakuja na kuishia kule kigamboni ambapo tpa wana pipe yao ya kunyonya mafuta kuyaleta huku pwani......ilo dude pale halipiti
 
Haita weza pale huwa tuna pasafisha baada ya kila kipindi flani, unakumbuka MSC ilishawahi kukwama? na ilikuwa ndogo?
kumbuka hiyo EVERGREEN in 400 mt za length kwahiyo sio meli ndogo hapo height yake sionya kitoto ndugu.
Meli nyingi zinazoingia pale zina kimo cha mita 15 kushuka chini.......sina kumbukumbu kama iliwahi ingia meli yenye kimo cha mita20.....
 
Hatari mdau linavuta mbele na nyuma kama messina
Messina Linea ni meli amabayo ina program za kipekee sana kwakweli wale wajamaa wanajielewa maana utendaji wao niwa kipekee sana, na wana lipia berth yao kwa mwaka wakija ni kupaki tu hawakai foleni wale wajomba,
 
Wabongo wajuvi sana sisi. Hahahahhah
 
bosi unasifia sana ukidaiwa tako itakua hata ngumu kugoma
 
Daah hongera sana mkuu. Je hii meli iliyonasa ni ya ngapi kwa ukubwa kulinganisha na meli zingine za aina hiyo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…