Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu

Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu

Stori tu izo[emoji3][emoji3]eti imepewa uwezo wa kuingiza meli yoyote
Anavyosema imepewa uwezo wa kuingiza meli kubwa anamaana ya kuwa Meli kubwa inaingia na inaishia baharini kwenye mkondo wa maji makubwa,kisha inakuja meli yetu ndogo inapakua mzigo kisha unaenda kushusha bandarini,ndivyo uelewa wangu huo
 
Kupita inaweza jaribu, pale si waliongeza na kina japo yaweza ikawa mastori
Haita weza pale huwa tuna pasafisha baada ya kila kipindi flani, unakumbuka MSC ilishawahi kukwama? na ilikuwa ndogo?
kumbuka hiyo EVERGREEN in 400 mt za length kwahiyo sio meli ndogo hapo height yake sionya kitoto ndugu.
 
Anavyosema imepewa uwezo wa kuingiza meli kubwa anamaana ya kuwa Meli kubwa inaingia na inaishia baharini kwenye mkondo wa maji makubwa,kisha inakuja meli yetu ndogo inapakua mzigo kisha unaenda kushusha bandarini,ndivyo uelewa wangu huo
Hapa nimekuelewa maana kuna meli kubwa sana za mafuta huwa zinakuja na kuishia kule kigamboni ambapo tpa wana pipe yao ya kunyonya mafuta kuyaleta huku pwani......ilo dude pale halipiti
 
Haita weza pale huwa tuna pasafisha baada ya kila kipindi flani, unakumbuka MSC ilishawahi kukwama? na ilikuwa ndogo?
kumbuka hiyo EVERGREEN in 400 mt za length kwahiyo sio meli ndogo hapo height yake sionya kitoto ndugu.
Meli nyingi zinazoingia pale zina kimo cha mita 15 kushuka chini.......sina kumbukumbu kama iliwahi ingia meli yenye kimo cha mita20.....
 
Hatari mdau linavuta mbele na nyuma kama messina
Messina Linea ni meli amabayo ina program za kipekee sana kwakweli wale wajamaa wanajielewa maana utendaji wao niwa kipekee sana, na wana lipia berth yao kwa mwaka wakija ni kupaki tu hawakai foleni wale wajomba,
 
Wameshindwa na kazi ndogo ya kiinjinia.Hapo kinachotakiwa nguvu aina tatu kwa wakati mmoja .Meli moja yenye nguvu sana inavuta kwa mbele,moja inasukuma kutokea nyuma na mbili zinakuwa eneo la kati ,moja kazi yake kupuliza mchanga uachie njia na nyengine inaivuta meli kuiweka sawa na uelekeo wa huo unaoitwa mfereji.Jua halikutwi meli itaendelea na safari yake.
Wabongo wajuvi sana sisi. Hahahahhah
 
Usiulize upana mkuu, uliza ulitengenezwaje?? Ni kiongozi mmoja hapo Misri aliona hiyo fursa kwamba iweje tusipasue hapa na kuunganisha bahari moja na nyingine ili kukuza pato la nchi ndio viongozi wenye mawazo makubwa ya akina Magufuli hao, na walianza kuchimba huo mfereji hapo awali na jembe na surulu za mikono kabla ya baadae nadhan kuongeza nguvu ya teknolojia, watu wa misri wa kipindi hicho walilaumu sanaaa.

Imagine huo mfreji unavyooliingizia taifa la misri matrillion ya dollors.

Kiongozi alieanzisha wazo na kuchukua hatua alishakufa mamia ya miaka ila wanaofaidi ni vizazi vya wajukuu na vitukuuu.


R.I.P mtekelezaji JPM

Ungepewa maisha nadhan baada ya kumaliza hii miradi iloyopo mm niliona kabsa ukihamisha uelekeo wa baadhi ya mito nchini na kuleta maji katika ziwa dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
bosi unasifia sana ukidaiwa tako itakua hata ngumu kugoma
 
Hapo lazima yatelemshwe Mkuu zipo meli za kupakua makontena meli kufaulisha mzigo baharini ni kawaida tuu kwenye emergency hata ingekua na urefu wa Moro dar mzigo unatolewa ikiwa nyepesi ndio inatolewa kwenye mchanga iliponasa bila hivyo itawasumbua sana mimi hizo meli nimeziona Cape Town dock na zingine za mita 350 kufanya kazi hakuna jipya kwangu kwenye meli nimezunguka nazo hizo karibu miaka mitano...
Daah hongera sana mkuu. Je hii meli iliyonasa ni ya ngapi kwa ukubwa kulinganisha na meli zingine za aina hiyo!?
 
Back
Top Bottom