Meli nyingine ya kifahari yawasili Kenya na watalii 900

Aaaw... Kumbe ilikuwa Zanzibar? Nice.
Sasa unapokuja na kujilingishia lingishia hapa nini wakati Jana tu ilikuwa Tanzania. Waringishie waganda ambao hawawezi kupata watalii kwa njia ya Meli. Kwanza kwenu hakuna beaches za maana. Tanzania ndio Baba lao kwa upande wa Beaches. Nikianza kukupa Kuanzia Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Mbeya na Zanzibar beaches nyingi za kumwaga. Nyie sasa hivi mnapumulia mpira kwenye utalii. Utalii Kenya Unashuka kwa kasi wakati Tanzania unapanda kwa kasi.
 

Aaaaw Sawa.
 
Ongereni wakenya sie kwetu bado tunamsiba tumefiwa na FARU JOHN hivyo watalii wamepungua kwa ajiri yake alikuwa kivutio sana kwenye sector ya utalii. Sasa watz bado tunamsiba ila hatujazika tangu tusikie amekufa tumeletewa pembe tu. TANZANIA NCHI YANGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…