mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Nenda media za urusi ndio utajua kama hii ni kawaida kwa wote.isipokuwa mmoja anatumia tbc1 mwingine sibuka tv.Ila wamarekani naona kama wanacheza na media sana kutangaza vifaa vyao vya kiusalama tofauti na Urusi ambao hawachezi sana na media kujitangaza kiusalama.