Aircraft carrier ni platform tu ya kubebea ndege,haina uhatari wowote kuizidi let say destroyer moscva.
Kwa uhatari wa kuangamiza cha kwanza ni submarine,kisha destroyer.
Kwamfano sub ya marekani inakuwa na kombora za nyulia Trident,kombora moja lina indepent reentry vihecle 6,vyenye warhead jumla 6,
warhead moja ina nguvu za kiloton 400,hiyo nguvu ya warhead moja tu inazidi nguvu ya milipuko yote iliyotumika katika vita vya kwanza vya dunia na vya pili ukijumlisha na yale makombora mawili ya atomic yaliyopigwa hiroshima na Nagasaki,hicho ni kichwa kimoja kati ya 6 vilivyobebwa na kombora moja,sasa submarine inakuwa na kombora zaidi ya 100,
maanake ni kuwa submarine moja inaweza teketeza nchi zima bila wasiwasi.
Na kwakua ni nuclear powered inaweza kukaa chini ya maji hata mwaka.
Hiyo ni sub ya marekani,sasa piga hesabu mwenyewe kuhusu sub ya mrusi ambayo kila kombora moja lina vichwa 10