Meli vita hatari zaidi ulimwenguni kwa sasa

Meli vita hatari zaidi ulimwenguni kwa sasa

Hivi Urussi tangu lini ikawa ni tishio duniani? Ilishawahi kupigana vita gani ya kutisha?
Urusi imechangia pakubwa sana Ujerumani kushindwa vita. Hata hivyo inatajwa kupoteza Wanajeshi na Raia wengi sana katika WWII. Si chini ya Warus million 15 walipoteza maisha, ila kwa vita jamaa wako ngangari sana. Soma Wikipedia mchango wa Urusi kuisambaratisha Ujerumani WWII, Marekani kuisambaratisha Japan hasa matumizi ya Enola Gay
 
Sasa kama Urusi inapoteza wanajeshi milioni 15 katika vita unadhani kuna kitu hapo???
 
Jeshi la Urusi linaweza kukosa marubani wa ndege? nadhani hapo umepotoka..nchi kubwa kijeshi kama Urusi haiwezi kukosa rubani...Urusi ina Marubani waliokamilika wa ndege mbalimbali zaidi mil 3 hao wako active haujagusa wale reserve ambao nao wanafikia mil 1..
dah bro ndege zaid ya mil 3 unatupiga changa la macho
 
wabongo bwana! yaani unavyoandika utadhan unafahamu peke yko vle?!
HIV uliona ln k2 kkbwa kkaw cr? hata BUSHA halina cr xmbuse Mi MELI mikubwa tena ni yakivita! Inamaana haifanywagi sevise au?
Jifunze kuandika kiswahili kwa ukamilifu. Pumbaffffff.
 
Aircraft carrier ni platform tu ya kubebea ndege,haina uhatari wowote kuizidi let say destroyer moscva.

Kwa uhatari wa kuangamiza cha kwanza ni submarine,kisha destroyer.

Kwamfano sub ya marekani inakuwa na kombora za nyulia Trident,kombora moja lina indepent reentry vihecle 6,vyenye warhead jumla 6,
warhead moja ina nguvu za kiloton 400,hiyo nguvu ya warhead moja tu inazidi nguvu ya milipuko yote iliyotumika katika vita vya kwanza vya dunia na vya pili ukijumlisha na yale makombora mawili ya atomic yaliyopigwa hiroshima na Nagasaki,hicho ni kichwa kimoja kati ya 6 vilivyobebwa na kombora moja,sasa submarine inakuwa na kombora zaidi ya 100,
maanake ni kuwa submarine moja inaweza teketeza nchi zima bila wasiwasi.

Na kwakua ni nuclear powered inaweza kukaa chini ya maji hata mwaka.

Hiyo ni sub ya marekani,sasa piga hesabu mwenyewe kuhusu sub ya mrusi ambayo kila kombora moja lina vichwa 10
 
aaah!! wewe globu mbona kilaz.a hivyo! ukisema maruban ml 3! una maanisha kuna ndege zaid ya mil 2!!
aisee yaan kakangu hapo kachemsha maana kwe dunia hii hamna airforce ya nchi yeyote yenye watu million tatu labda kama ameinclude na marehem.
 
Nguvu ya vita itatoka Vatican uko kwingine tunapashangilia tu.
Lakini kiuhalisia mmarekani ana maneno tu ana chochote yy utengemea zaidi umoja.
NB. Mimi ni mfuasi wa North Korea.
 
Jeshi la Urusi linaweza kukosa marubani wa ndege? nadhani hapo umepotoka..nchi kubwa kijeshi kama Urusi haiwezi kukosa rubani...Urusi ina Marubani waliokamilika wa ndege mbalimbali zaidi mil 3 hao wako active haujagusa wale reserve ambao nao wanafikia mil 1..
Hata Mimi Mkuu nimepashangaaa hapo, je ikitokea vita itakuwaje ikiwa huna marubani wa kutosha
 
Huijui vizuri urusi warusi ni watu hatari sana wao malanyingi vyombo vyao vyenye uwezo mkubwa hawapendi kuviweka hadharani nikikuolea mifano utashangaa sana
Hebu Mkuu tupe hiyo mifano, maana wengine hatujui ila twataka kueleweka.
 
Back
Top Bottom