Nenda media za urusi ndio utajua kama hii ni kawaida kwa wote.isipokuwa mmoja anatumia tbc1 mwingine sibuka tv.Ila wamarekani naona kama wanacheza na media sana kutangaza vifaa vyao vya kiusalama tofauti na Urusi ambao hawachezi sana na media kujitangaza kiusalama.
mkuu wewe ni hauz geli wa general wa uruc au? hiz sosho umetoa WAP? au umezgugo makalioni?Jeshi la Urusi linaweza kukosa marubani wa ndege? nadhani hapo umepotoka..nchi kubwa kijeshi kama Urusi haiwezi kukosa rubani...Urusi ina Marubani waliokamilika wa ndege mbalimbali zaidi mil 3 hao wako active haujagusa wale reserve ambao nao wanafikia mil 1..
wabongo bwana! yaani unavyoandika utadhan unafahamu peke yko vle?!Huijui vizuri urusi warusi ni watu hatari sana wao malanyingi vyombo vyao vyenye uwezo mkubwa hawapendi kuviweka hadharani nikikuolea mifano utashangaa sana
Huu uandishi kaandike facebook James delicious.wabongo bwana! yaani unavyoandika utadhan unafahamu peke yko vle?!
HIV uliona ln k2 kkbwa kkaw cr? hata BUSHA halina cr xmbuse Mi MELI mikubwa tena ni yakivita! Inamaana haifanywagi sevise au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wabongo bwana! yaani unavyoandika utadhan unafahamu peke yko vle?!
HIV uliona ln k2 kkbwa kkaw cr? hata BUSHA halina cr xmbuse Mi MELI mikubwa tena ni yakivita! Inamaana haifanywagi sevise au?
Utengenezaji wa meli siyo kama kutengeneza sabuni za Rungu au family soapUrusi ni wasiri sana. Wanaweza kuwa na meli bora zaidi na dunia isijue hadi watapoamua kuweka wazi kwa sababu za kiusalama.
Punguza basi mihemko brazaaaWewe Ile meli ya Mrusi sio ya kufananisha na vitu vya kijinga kijinga
Na vinaonekana mkuu,ni sawa na tz waseme wana hiyo meli wakati hata picha ya meli hatuna,utawaelewa?????Ila wamarekani naona kama wanacheza na media sana kutangaza vifaa vyao vya kiusalama tofauti na Urusi ambao hawachezi sana na media kujitangaza kiusalama.
Hivi Urussi tangu lini ikawa ni tishio duniani? Ilishawahi kupigana vita gani ya kutisha?Mmmmmmmh hatari sana sana, hawa Jamaa kuna siku watakuja kuiangamiza Dunia kabisa. Lakini,mshangao eti unakuta Korea anaitunishia misuri Marekani. Marekani wanachofanya siku hizi ni kunyamaza tu na kuendelea na mambo yao. Lakini hawa watu ni hatari zaidi KIVITA,KIUCHUMI NA KISIASA.
Huijui vizuri urusi warusi ni watu hatari sana wao malanyingi vyombo vyao vyenye uwezo mkubwa hawapendi kuviweka hadharani nikikuolea mifano utashangaa sana
HahahaaaaaaaaaaMleta mada amejaribu kuainisha ulingani huu kwa kuweka baadhiya data. Ni vyema na wewe sasa ukapinga haya kwa data, vinginevyo wewe ndiye unaonekana mjinga. Anyway, siyo kosa lako bali ni kosa la serikali za ccm.
Hahahaaaaaaaawabongo bwana! yaani unavyoandika utadhan unafahamu peke yko vle?!
HIV uliona ln k2 kkbwa kkaw cr? hata BUSHA halina cr xmbuse Mi MELI mikubwa tena ni yakivita! Inamaana haifanywagi sevise au?