Urusi imechangia pakubwa sana Ujerumani kushindwa vita. Hata hivyo inatajwa kupoteza Wanajeshi na Raia wengi sana katika WWII. Si chini ya Warus million 15 walipoteza maisha, ila kwa vita jamaa wako ngangari sana. Soma Wikipedia mchango wa Urusi kuisambaratisha Ujerumani WWII, Marekani kuisambaratisha Japan hasa matumizi ya Enola GayHivi Urussi tangu lini ikawa ni tishio duniani? Ilishawahi kupigana vita gani ya kutisha?
Sasa kama Urusi inapoteza wanajeshi milioni 15 katika vita unadhani kuna kitu hapo???Urusi imechangia pakubwa sana Ujerumani kushindwa vita. Hata hivyo inatajwa kupoteza Wanajeshi na Raia wengi sana katika WWII. Si chini ya Warus million 15 walipoteza maisha, ila kwa vita jamaa wako ngangari sana. Soma Wikipedia mchango wa Urusi kuisambaratisha Ujerumani WWII, Marekani kuisambaratisha Japan hasa matumizi ya Enola Gay
dah bro ndege zaid ya mil 3 unatupiga changa la machoJeshi la Urusi linaweza kukosa marubani wa ndege? nadhani hapo umepotoka..nchi kubwa kijeshi kama Urusi haiwezi kukosa rubani...Urusi ina Marubani waliokamilika wa ndege mbalimbali zaidi mil 3 hao wako active haujagusa wale reserve ambao nao wanafikia mil 1..
Jifunze kuandika kiswahili kwa ukamilifu. Pumbaffffff.wabongo bwana! yaani unavyoandika utadhan unafahamu peke yko vle?!
HIV uliona ln k2 kkbwa kkaw cr? hata BUSHA halina cr xmbuse Mi MELI mikubwa tena ni yakivita! Inamaana haifanywagi sevise au?
Soma vizuri Mkuu, siyo ndege ni marubani.dah bro ndege zaid ya mil 3 unatupiga changa la macho
WAP hujaelw? au ndo umezoea kukrem herf na sentc?Huu uandishi kaandike facebook James delicious.
aaah!! wewe globu mbona kilaz.a hivyo! ukisema maruban ml 3! una maanisha kuna ndege zaid ya mil 2!!Soma vizuri Mkuu, siyo ndege ni marubani.
ww mwenyw hjaandk kkmilfu! toka lini pumbavu ikaandikwa pumbafffff!Jifunze kuandika kiswahili kwa ukamilifu. Pumbaffffff.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alijua yupo facebookJifunze kuandika kiswahili kwa ukamilifu. Pumbaffffff.
Dah bro km hao ni maruban tu ukichanganya idadi ya walio navy na army c watakua na jeshi la watu million 15Soma vizuri Mkuu, siyo ndege ni marubani.
aisee yaan kakangu hapo kachemsha maana kwe dunia hii hamna airforce ya nchi yeyote yenye watu million tatu labda kama ameinclude na marehem.aaah!! wewe globu mbona kilaz.a hivyo! ukisema maruban ml 3! una maanisha kuna ndege zaid ya mil 2!!
Hata Mimi Mkuu nimepashangaaa hapo, je ikitokea vita itakuwaje ikiwa huna marubani wa kutoshaJeshi la Urusi linaweza kukosa marubani wa ndege? nadhani hapo umepotoka..nchi kubwa kijeshi kama Urusi haiwezi kukosa rubani...Urusi ina Marubani waliokamilika wa ndege mbalimbali zaidi mil 3 hao wako active haujagusa wale reserve ambao nao wanafikia mil 1..
Hebu Mkuu tupe hiyo mifano, maana wengine hatujui ila twataka kueleweka.Huijui vizuri urusi warusi ni watu hatari sana wao malanyingi vyombo vyao vyenye uwezo mkubwa hawapendi kuviweka hadharani nikikuolea mifano utashangaa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu uandishi kaandike facebook James delicious.
Ana historia gani ya kumtisha Urusi.....??Marekani sio taifa la mchezo tulieni tu kama hamjui historia ya Taifa lile